Kumtenganisha muasisi wa ACT na hoja zake, ni kumpa favor kubwa sana ambayo yeye anashindwa kuwapa wengine! Ni uamuzi wako kumchukulia serious jamaa, lakini walio wengi wanamuona ni mpuuzi tu mmoja, mbwabwajaji.
Hakuna bashasha kabisa[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2215125
Ni kweli kabisa, na ninadhani labda anatakiwa akaoketeze baadhi ya mambo kwenye "48 Laws of Power". Wanasiasa walio wengi sana huwa wanatumia content iliyoko kwenye sheria hizoMwanasiasa anatakiwa kujua rhetoric. Content and delivery.
Unaweza kuongoza watu wajinga sana na kuwatoa katika ujinga bila kuwaambia "nyinyi wajinga sana".
Ukishawaambia watu "nyinyi wajinga sana", hata kama ni kweli, unaweka mambo ya ego na emotion, wananchi wanakosa imani nawe.
Zitto alitakiwa kuwa daraja la wafuasi wa Magufuli na waliompinga Magufuli.
Alitakiwa kututoa kwenye siasa za kumfuata mtu na tuangalie hoja.
Kwa ile kauli yake, hata akichambua ubovu wa hoja za Magufuli, kwa sasa anaonekqna ana chuki na Magufuli tu.
Zitto hakupima madhara ya kauli yake.Kuna kauli za Zitto amechemka, kama ile kauli ya kusema wanaompenda Magufuli wakazikwe naye Chato ni ujinga.
Lakini, kwenye kukopa, hili ni kweli, hata ukisikiliza mazungumzo ya Tido Mhando na rais SSH, rais kalitaja hili.
Kwa hivyo, kwenye hilo Zitto yuko sawa.
Tuache kuongozwa na hisia, twende kwa data.
Akikujibu nijulishe mkuuAlikopa kwenye taasisi za biashara au la?
Poa mkuuAkikujibu nijulishe mkuu
Wakati anawaondoa uhai ulikuwa nae pamoja?Magufuli aliondoa uhai wa watu hilo mbona hamlisemi?
Kwa nn asituambie aina ya mikopo na Taasisi alizokopa Jpm? Uwezo wake Wa Kuchambua mambo umeshuka?Zitto hakupima madhara ya kauli yake.
Ni kauli isiyofaa kabisa kuntamka watu wakazikwe na Magufuli. Hii ni kauli ya kulaani na wa watu wote.
Kuhusu mikopo yuko sahihi
Mjinga anaweza kutoa hoja ya maana mara mojamoja.
.
MKuu Kwa hiyo watu waache kuwa judgemental bila ya kufanya analysis ya klilichoongeLewa na Zito?
.
Kwa Hyo Tuangalie kaongea nini sio kaongea nani.?
Thibitisha huo ukweli wa mkopo alioukopa , ni shilingi ngapi kutoka kwa nani na kwa masharti ya riba kiasi gani?Kuna kauli za Zitto amechemka, kama ile kauli ya kusema wanaompenda Magufuli wakazikwe naye Chato ni ujinga.
Lakini, kwenye kukopa, hili ni kweli, hata ukisikiliza mazungumzo ya Tido Mhando na rais SSH, rais kalitaja hili.
Kwa hivyo, kwenye hilo Zitto yuko sawa.
Tuache kuongozwa na hisia, twende kwa data.
Mkuu,Zitto hakupima madhara ya kauli yake.
Ni kauli isiyofaa kabisa kuntamka watu wakazikwe na Magufuli. Hii ni kauli ya kulaani na wa watu wote.
Kuhusu mikopo yuko sahihi
Huyu jamaa alikuwa ameshaiweza kazi. Alielewa changamoto zilizokuwepo. Kwa Sasa mambo ni shida.Asikope ili iweje wakati anajua anakusanya kodi vyema na itarudi…huo ujinga mnaoaminishwa kwamba Tanzania ni maskini mtakaa hapo hapo….eti miradi mikubwa haitekelezeki kisa mmeshaimbiwa nyie ni maskini mmezoeshwa kujengewa mpaka vyoo vya mashuleni….mambo mazuri nyie kwenu hamstahili na hamuwezi kujifanyia..
Kwahio huyo shetani alitaka miradi isifanyike kwa haraka na mtanzania wa kawaida anufaike…na JPM alijua maadui aliokuwa nao ni wajinga waliomzunguka…km huyu shetani anaeropoka kila siku…watanzania sisi sio wajinga…JPM mwenyewe anajua udhaifu wa viongozi tulikuwa nao na akalisema hapa…and it is exactly what is happening now….ni kumnanga tu bila kunyanyua jiwe lolote na kujenga nchi…wamekazana kubwabwaja na kusifia ili wajaze matumbo yao wakati mwanachi wa kawaida anateseka kila kukicha
Tanzania Debt Tops $37 Billion as It Increases Transport SpendThibitisha huo ukweli wa mkopo alioukopa , ni shilingi ngapi kutoka kwa nani na kwa masharti ya riba kiasi gani?
Mi naungana naye WAKAZIKWE NA MFALME LALALALAAAHSijapenda Zitto alivyosema wanaompenda Magufuli wakazikwe naye Chato.
Hii kauli ya Zitto ni mipasho ya mtaani ambayo haifai kutamkwa na kiongozi wa hadhi yake.
Mkuu,Kama hoja yake ya watu kuzikwa na JPM, hii nayo ni ya kipuuzi tu hata kama imesemwa na wengi!!
Ulisema kuwa Samia naye kasema kuwa JPM alikopa, je yeye hajakopa sana? Kajisema? Alikubali kusemwa na Ndugai kuwa anakopa sana??
Tatizo lenu wachangiaji wa Jamboforums miaka yote toka enzi na enzi ni double standards, mkipenda chongo mnaita kengeza. Katika blunders za JPM, kukopa sana siyo moja wapo hasa ukilinganisha na yaliyofanyika.
Hata wewe jaribu kuangalia bias zako hasa kuhusu JPM kabla ya kuunga mkono hoja za kipuuzi kama hii ya kukopa sana.
U nail it Mzee KKwa nini swali liwe kaongea nini na sio kaongea nani?
Kwani hatuwezi kufanya analysis inayochanganya vyote (nini na nani)na kusema kwamba.
1. Zitto ametoa outbursts ambazo ziko emotional zaidi na zinaonesha ana bias against Magufuli.
2. Lakini, kuwa na bias against Magufuli hakukufanyi usiweze kusema ukweli kuhusu Magufuli. In fact in some cases bias dhidi ya mtu ndiyo inaweza kukufanya uchimbe deep na kugundua ukweli ambao watu wasio na bias hawawezi kuugundua.
3. Hivyo, hoja za mtu mwenye bias against Magufuli, zinatakiwa kuchunguzwa kwa kina zaidi kwa kujua kwamba si za mtu neutral, ni za ntu mwenye bias against Magufuli.
4. Hilo halimaanishi hoja hizo zitupiliwe mbali kwa sababu mtu ana bias against Magufuli.
5. Moja ya namna ya kuziangalia hoja hizi ni kuangalia watu wengine ambao hawana bias against Magufuli wamesemaje. Tunajua hoja ya serikali kukopa sana si ya Zitto tu, in fact hata watu waliokuwa wanamkubali Magufuli kama Spika aliyejiuzulu wamelisema hili. Kwamba serikali inakopa sana. Kwa hiyo hii si hoja ya Zitto tu. Rais mwenyewe kasema serikali imefanya miradi mingi kwa kukopa na kukopa kunazidi, ingawa hakujazidi sana. Hivyo suala la serikali kukopa ni fact, si spin ya Zitto tu.
Anajitafutia mateso ya moyo baadae yaje kumletea matatizo kama stroke na magonjwa mengine ya moyo.Halafu na wewe ukimchukia itakusaidia nini? Unahisi atapungukiwa nini kupitia hizo chuki zako?
Usipokuwa na uwezo wa kutofautisha mahaba na makosa huwezi kuhukumu kwa haki.Mkuu,
Kwa nini inakuwa vigumu sana kwa watu wengi kuona hivyo kama tunavyoona mimi na wewe?
Kwa nini inakuwa kama haiwezekani mtu akakosea kwenye kauli moja, na akawa sahihi kwenye nyingine?
Tumekuwa extreme sana kiasi kwamba ama unamkubali mtu na yote anayoyasema, ama unamkataa mtu na yote anayosema, bika kuwa na uwezo wa kukataa mengine na kukubali mengine?
Hizi nin? siasa ama ushabiki wa timu kama wa Simba na Yanga?
Hata huo ushabiki wa timu watu huwa wanapingana na timu zao mara nyingine.