Nimechagua kumchukia Zitto Kabwe kutokana na kuwa na chuki na Hayati Magufuli

kabla ya kumchukia zitto kabwe wewe na wenzio mnao muona magufuli kama Mungu ungesema kwanza alichokisema zitto ni kweli au uongo
ALAANIWE MWENDAZAKE
 
Unapoandika "wananchi hawawaelewi" na "hamjui siasa" unakusudia kunilundika katika kundi gani?
 
Magufuli hakuwa Rais sahihi kwa Nchi yetu bali alikuwa anapuyanga tu. Watanzania wengi elimu duni aliwadanganya kwa propaganda zake na wakadanganyika, hawakuwa na namna ya kupata taarifa mbadala.

Ilikuwa ni ajali kutawaliwa na kichaa toka Chato iliyotokea mwaka 2015. Naamini haitotokea tena.

Tuko mikono salama na Rais SSH
 
You have a one track mindset. A flat one at that. You lack depth and dimension.

You have no decency kumuita mtu chawa.

Nimeeleza hapo juu kwamba sioni tofauti ya kimsingi kati ya JPM na SSH.

Nimeeeleza hapo juu jinsi ninavyoshangazwa na Zitto kumshambulia rais marehemu JPM wakati kuna rais anayeishi SSH mwenye madudu mengi Zitto hajamsema kitu.

Nimetoka kumkosoa SSH kauli yake kwamba tuna afadhali kwenye bei ya mafuta kulinganisha nanjirani zetu.

Nimekosoa upotoshaji wa SSH kwamba bei ya mafuta Tanzania ni afadhali kuliko Marekani, kwa data, zilizoonesha kwa uafadhali wa bei ya petroli Tanzania ni nchi ya 90, Marekani ni nchi ya 62 by May 2 2022.

Sasa mimi ni chawa gani wa SSH na awamu ya sita ninayetaka SSH awe criticized zaidi na tuachane na mfu Magufuli?

Mimi chawa gani wa SSH ninayem criticize SSH?

Unajua kusoma kwa ufahamu wewe?

Au ndiyo unarukia conclusions kama nilivyoandika hapo juu?
 
nami pia nahisi wee ni Mdini kwa kuwa wapo wengi tu wanaomkosoa JPM wakiwa Wakristo

we msaidie kujibu hoja husika

yapo mengi mazuri na mabaya pia yapo

usilazimishe wote tuwe upande mmoja

Dkt Magufuli hakuwa muislamu, Zitto ni mdini! Najua kuna waislamu wasio na mrengo huo wengi tu mfano mzuri ni Mama Samia na Waziri mkuu, ila huyu kiumbe anaendeshwa na mihemuko ua ukabila na udini.
 
CAMPAIGN CHAFUA JPM IS HOTTER

HISTORIA ITAWEKA WAZI
 
Sidhani Kama kiranga anamkosoa JPM Kwamba yeye Ni Chawa wa Sunet Tv
 
Unaongelea "ishara za mazungumzo yako" kwa sababu huna data.

Una speculate. Una jump to conclusions. Huna ushahidi.

Kwa nini unaongelea "ishara za mazungumzo yangu" wakati mazungumzo yote yapo hapa JF?

Kwa nini usinukuu moja ya posts zangu tuchambue na mimi nikuoneshe kuwa sipo hapa kumpigia jaramba mtu?

Huwezi kuweka nukuu ya maneno yangu nilipomtetea SSH kwa namna ambayo unaweza kusema mimi ni chawa wa SSH.

Lakini, mimi naweza kukuwekea post yangu ya leo leo, masaa machache tu yaliyopita, nilipomrekebisha kada wa CCM aliyekuja hapa kupotosha habari za SSH kuongoza vizuri Tanzania kwenye bei ya mafuta.

Nikaweka data za dunia na kusema kwa nchi zenye bandari za ukanda wetu Tanzania ina bei ya mafuta kubwa zaidi.

Tena kada wa CCM alivyoona nimemshinda kwa data akajifanya kujibaraguza kwamba tunasema kitu kimoja, nikamrekebisha kumwambia hapana, logically.

In fact hata katika uzi huu nimeandika hapo juu kwa nini Zitto hamkosoi zaidi SSH, anashikilia kumkosoa JPM ambaye kashajifia zake? Sasa hapo nakuwaje mtetezi wa SSH?

Sasa mimi chawa gani wa SSH ninayewarekebisha makada wa CCM wanaopotosha ukweli kwa kumsifia SSH?

Kama unataka kunishambulia, nishambulie kwa data specific. Usiende kwa mihemko ya maneno matupu.
 
Endelea kuoza na kuliwa na minyoo huko kaburini hata Yesu akirudi ushindwe kufufuka Magufuli. Tanzania haikutendewa haki kuwa na Rais mwizi, muuaji na mwongo kama Magufuli Hata Magufuli akifufuka atakuwa ndiyo kuni za kuchomea moto wa jehanam ambao wakosefu wanaungua
 
Siku sio nyingi hata kama sio ww au watu Wako wa karibu wataoza na kuliwa na minyoo pia
 
Wewe unafanya kitu kinaitwa "psychological projection".

Kwa sababu wewe huwezi kufanya siasa za falsafa, unaongozwa na siasa za chuki, ukiona mtu anafanya siasa za falsafa, na kusema kwamba JPM aliangusha real estate market, unachoweza kuelewa hapo ni chuki tu.

Ndiyo mwisho wa uwezo wa akili yako.

Kwa sababu huna uwezo wa kujadili mambo kidhahania.

Una personalize mambo.

Siwezi kukulaumu sana.

Ndiyo uwezo wako ulipoishia.
 
Hayo ya ya bei ya mafuta tuachane nayo, ni ishu complex sana! Hahaha tayari boss wenu keshasema Marekani mafuta ghali kuliko bongo [emoji1787][emoji1787]
"Boss wenu" nani? Unalazimisha mambo?

If anything Samia boss wako wewe kuliko mimi.
 
Nimekupa nafasi usimamishe hoja yako kwa nukuu zangu.

Umeshindwa, kwa sababu huwezi kubishana kwa hoja.

Umezoea mipasho, siasa za chuki, majitaka, assumptions na speculation.
 
Dkt Magufuli hakuwa muislamu, Zitto ni mdini! Najua kuna waislamu wasio na mrengo huo wengi tu mfano mzuri ni Mama Samia na Waziri mkuu, ila huyu kiumbe anaendeshwa na mihemuko ua ukabila na udini.
Hata wewe upo kwenye mlengo wa kidini kwa sababu hiyo ndio maana unamsema zitto
 
Hahaha nina enjoy flani unavyopandisha munkari! Una tatizo la hasira au hisia zako huwezi kuzi-control! Calm down
Hujafikia wattage ya kunipandisha munkari, do not flatter yourself.

Ila kwa sababu wewe ni mvivu wa kufikiri, hata nikipiga chafya kwa reflex action tu, wewe utaona nimepandisha munkari.
 
Hahaha kwa kujikweza pia hujambo. Ila punguza emotions katika mijadala humu kwenye social media…
Emotions umeleta wewe unayenishutumu bila kutumia angalau nukuu yangu hata moja.

Yani wewe ni kama mtu mwizi ambaye kwa sababu yeye ni mwizi, anamshuku kila mtu kuwa mwizi.

You are doing "psychological projection".

Tabia zako kama za kuwa emotional kwenye mjadala unaotaka logic, unanipachika mimi.
 
Alikupiga au alikuua?
Mkuu tumia busara basi hata mara moja moja, mtu akiwa muuaji lazima akuue au akiwa mpigaji basi lazima ampige kila mtu? Nchi kama nchi ni kuweka utaratibu mzuri ili mtu kama yule asije kupewa madaraka makubwa kama ilivyotokea kwa bahati mbaya.
 
Mkuu tumia busara basi hata mara moja moja, mtu akiwa muuaji lazima akuue au akiwa mpigaji basi lazima ampige kila mtu? Nchi kama nchi ni kuweka utaratibu mzuri ili mtu kama yule asije kupewa madaraka makubwa kama ilivyotokea kwa bahati mbaya.
Tuthibitishie huo uuaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…