Nimechagua kumchukia Zitto Kabwe kutokana na kuwa na chuki na Hayati Magufuli

Nimechagua kumchukia Zitto Kabwe kutokana na kuwa na chuki na Hayati Magufuli

Wakuu nimekuwa na chuki sana na Huyu zito.
.
Namchukia sana kutoka rohoni mwangu.
.
Amekuwa na chuki sana na JPM kila akipata forum ya Kuzungumza anamzungumza Kwa mabaya JPM.
.
Unakuwaje na chuki na mtu ambae hawezi kukujibu Kwa lolote

View attachment 2215113
Zito ni kama ka mjusi ukutani tu. Kalipwa huyo kueneza uongo ili watu wasahau mazuri ya JPM na kuanza kushabikia mambo yasiyo eleweka ya sasa, na ni kazi ngumu isiyo wezekana kuifanya jamii imuelewe vibaya JPM badala ya mazuri,haitawezekana hata wafanye nini
 
Tatizo hata hiyo logic huna, ndiyo maana una shindwa kuelewa vizuri hata huo mjadala wa mikopo. Ungekuwa unatumia akili kidogo tu, ungeona kituko cha Samia au Zitto kumponda JPM kwa ‘kukopa sana.’

Tatizo unafanya assumption sana.

Halafu hujui kusoma kwa ufahamu.

Halafu una dimensionless flat one track mind, nikianza kujadili vitu kwa nuance huelewi. Ndiyo mwisho wa uwezo wako.

Nimeandika habari za mikopo mpaka kuweka debt to GDP ratio za Marekani na Tanzania.

Ukakimbia mjadala huo.

Tatizo hata sina hakika kama unaelewa debt to GDP ratio ni kitu gani na kama ushawahi kukisikia kabla ya leo.

Sasa tutajadiliana vipi hapo?
 
Tatizo unafanya assumption sana.

Halafu hujui kusoma kwa ufahamu.

Halafu una dimensionless flat one track mind, nikianza kujadili vitu kwa nuance huelewi. Ndiyo mwisho wa uwezo wako.

Nimeandika habari za mikopo mpaka kuweka debt to GDP ratio za Marekani na Tanzania.

Ukakimbia mjadala huo.

Tatizo hata sina hakika kama unaelewa debt to GDP ratio ni kitu gani na kama ushawahi kukisikia kabla ya leo.

Sasa tutajadiliana vipi hapo?
A house becomes a home when family members are united.
.
U guys chill up mane....Hug just to show love.
.
Kesho tunazindua Royal Tour hapa tunataka kila mtu amuone Piraaa akiwa hapa mjini live kabisakabisa! 🫂🫂

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hayo yote ushaongea kuhusu mimi [emoji1787][emoji1787][emoji1787], unaweza kunitukana na kutoa kashfa zote duniani, haiondoi uchawa wako kwa Samia na chuki yako dhidi ya Magufuli.

Miye nimeishia darasa 4 B, wewe sijui ni msomi wa kiwango gani, labda una ma PhD kibao Kama Tuntemeke Sanga. Unaweza kuwa na elimu yote hiyo na bado Kama wewe mtu akabaki kuwa mpuuzi.

Hizo data zako ni public, kama wewe unajua basi kaa ukijua kuwa mimi najua pia, hakuna haja ya kujadili vitu ambavyo vipo wazi. Ongea kitu kipya, acha kurudia rudia, inaonyesha chuki na hasira zako.

Pia nime notice ka elitism syndrome flani, unajiona bora kuliko wengine, ujuaji wako utakuponza!
Wewe una inferiority complex.

Nikikueleza maisha yangu unaona elitism.

Halafu huwezi mjadala na mimi, kwa sababu huwezi mjadala wa data.

Ukiletewa data unakimbia.

Unataka mjadala wa mipasho.

Halafu wewe ni ngumbaru, hujui kusoma kwa ufahamu.

Hatuwezi kuelewana.

You are a semi-literate innumerate.
 
Nimemuita chawa kwa makusudi, nilitegemea itamkwaza, alivyokuwa kubwa jinga kakwazika kweli. Hovyo sana
Huna uwezo wa kunikwaza mimi wewe nyungunyungu usiye na ubongo wala uti wa mgongo.

Mimi nakuonesha tu kwamba huwezi kubishana nami kwa hoja wala kwa viroja.
 
Hiyo mpya tena, yaani leo utamaliza kashfa zote humu duniani [emoji1787][emoji1787]

Data huna bwana, acha kujikweza, wewe ni mropokaji tu.

Mwanzo uliingiza story za Marekani “ooh Marekani sijui deni nini,” nikakwambia tuachane na hayo, ni mtu ambaye unapenda kuingiza ishu irrelevant katika mjadala husika.

Hamna mtu ambaye yupo interested na maisha yako, acha tabia ya kujifanya sehemu ya mjadala! Unajichoresha. Kila mtu ana maisha hata kama anaishi chini ya daraja pale I 5.
Wewe ishu relevant hata ukiwekewa chini ya pua yako utaijua?
 
Wakuu nimekuwa na chuki sana na Huyu zito.
.
Namchukia sana kutoka rohoni mwangu.
.
Amekuwa na chuki sana na JPM kila akipata forum ya Kuzungumza anamzungumza Kwa mabaya JPM.
.
Unakuwaje na chuki na mtu ambae hawezi kukujibu Kwa lolote

View attachment 2215113
Chuki yanini ndugu amekushauri ukazikwe pembeni yake kama unaona hilonikosa kumbe hupendi jamaa yule mkwapuaji au panya road ulitaka zito ampende wakati alizuia pesa za bonde lamto lwiche kazuia vingi tu vyakuja kigoma jamaa bora hivo alikufa alikuwa naroho mbaya alafu alikuwa mshamba kweli kweli
 
Tanzania Debt Tops $37 Billion as It Increases Transport Spend

Tanzania debt tops $37 billion as it increases transport spend

By: Fumbuka Ng'wanakilala | Feb 09 2022 at 04:46 AM | International Trade

Tanzania’s national debt climbed by almost 20% last year as the East African nation ramped up borrowing to fund its infrastructure projects.

Public debt increased by $6.1 billion to $37.1 billion in 2021, the Bank of Tanzania said in a statement on its website.

Transport and telecommunication activities accounted for the biggest share of external debt, according to the report. Social welfare and education, and energy and mining followed.

Tanzania has increased public investment in rail links, roads, ports, and power plants as it looks to develop a regional trade and manufacturing hub. The government plans to increase spending by 7.4% in 2022-23 while keeping the budget deficit below 3% of gross domestic product.

The nation’s earnings from gold exports, its biggest source of foreign currency, fell 7.2% to $2.7 billion last year. Other foreign earnings, however, climbed; exports of manufactured goods such as sisal and sisal products jumped 33.5% to $1.2 billion, while travel receipts almost doubled to $1.4 billion as international tourist arrivals rebounded.
Kwenye hii comment yako inaonesha 2021 tu deni limeongezeka kwa 20% sasa hapo mbona inaonekana mwaka mmoja wa SSH umeongeza 20%kati ya hizo 20% riba imechangia kiasi gani
 
Kuna kauli za Zitto amechemka, kama ile kauli ya kusema wanaompenda Magufuli wakazikwe naye Chato ni ujinga.

Lakini, kwenye kukopa, hili ni kweli, hata ukisikiliza mazungumzo ya Tido Mhando na rais SSH, rais kalitaja hili.

Kwa hivyo, kwenye hilo Zitto yuko sawa.

Tuache kuongozwa na hisia, twende kwa data.
Kiranga kokote uliko am ur mpambe
 
Mkuu,

Mimi hata sijafika kwenye kusema kuwa kukopa ni jambo baya.

Kukopa hata serikali ya Marekani inayochapisha hela ya dunia inakopa, tena ina deni kubwa sana tu na debt to GDP ratio yao yetu ina afadhali.

Tukizidisha ratio yetu mara tatu bado tunakuwa hatujawafikia Marekani.

Marekani wana debt to GDP ratio ya 133%, sisi tunaikimbiza 40%

Jaribu kusoma kwa ufahamu.

Hoja kwangu hapa ni kwamba kulikuwa na propaganda kwamba tunafanya mambo kwa hela zetu wenyewe, wakati serikali imekopa sana.
Katika miaka mi5 ya Magufuli kalipa madeni ya nje kwa kiasi gani na kakopa nje kwa kiasi gani ili tufahamu kama kweli tumefanya kwa pesa za ndani au la. Maana kama kalipa madeni ya nyuma kwa kiasi kikubwa kuliko alichokopa automatically inaonesha huo mkopo ulikuwa kama pesa za ndani zimefanya kazi
 
Katika miaka mi5 ya Magufuli kalipa madeni ya nje kwa kiasi gani na kakopa nje kwa kiasi gani ili tufahamu kama kweli tumefanya kwa pesa za ndani au la. Maana kama kalipa madeni ya nyuma kwa kiasi kikubwa kuliko alichokopa automatically inaonesha huo mkopo ulikuwa kama pesa za ndani zimefanya kazi
Ameongeza deni kwa 66% in 6 years.

Kwa rate hii ange double national debt kabla ya kumaliza miaka 10 yake.

And that is by using the most conservative figures.

Some figures, depending on how you count, had him already at doubling the national debt in his 6 years.



 
Mimi sijasema lolote kuhusu faida ya mikopo ya rais wa sasa.

Nimesema kumshambulia Zitto kwa sababu kasema Magufuli alikopa sana si sahihi.

Kwa sababu Magufuli alikopa sana, hilo ni kweli, na mpaka rais wa sasa kalisema.

Sasa unabisha? Unataka kusema Magufuli hakukopa?
Ndio hakukopa. Wewe una uhakika gani wakati kutwa nzima uko jf
 
Wakuu nimekuwa na chuki sana na Huyu zito.
.
Namchukia sana kutoka rohoni mwangu.
.
Amekuwa na chuki sana na JPM kila akipata forum ya Kuzungumza anamzungumza Kwa mabaya JPM.
.
Unakuwaje na chuki na mtu ambae hawezi kukujibu Kwa lolote

View attachment 2215113

mimi nimemchukia sana natamani afe hata leo mtu mwenye roho mbaya sana anakataza watu wasimseme mama yake hapohapo yeye anamsema jpm
 
Ndio hakukopa. Wewe una uhakika gani wakati kutwa nzima uko jf
Data zinaongea.

Kama unajua kusoma.




 
Dkt Magufuli hakuwa muislamu, Zitto ni mdini! Najua kuna waislamu wasio na mrengo huo wengi tu mfano mzuri ni Mama Samia na Waziri mkuu, ila huyu kiumbe anaendeshwa na mihemuko ua ukabila na udini.
Onesha huo udini wa Zitto. 1.2.3.4
 
Pale kwenye mikopo,Zitto hakumungunya maneno,na hajaanza leo kuzungumzia mikopo ya Raisi Magufuli wakati Zitto akiwa mbunge.
Kuna watu walidhani Zitto anapika takwimu za mikopo wakati ule,kumbe Mchumi Zitto alikuwa anajua anaongea nini.
Na kama ukichukuwa hansard zake bungeni, tatizo la serikali kudanganya na kukopa nje ya utaratibu lingedhibitiwa mapema.
Mtoa taarifa c ndo amefahamika kwa wale wenye akili huru dalili zote za aliyekuwa informer wa kundi j zee ndo yupo mahari patakatifu kwa sasa
 
Back
Top Bottom