Muuaji kwani ni lazima aue kila mtu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muuaji kwani ni lazima aue kila mtu?
Zito ni kama ka mjusi ukutani tu. Kalipwa huyo kueneza uongo ili watu wasahau mazuri ya JPM na kuanza kushabikia mambo yasiyo eleweka ya sasa, na ni kazi ngumu isiyo wezekana kuifanya jamii imuelewe vibaya JPM badala ya mazuri,haitawezekana hata wafanye niniWakuu nimekuwa na chuki sana na Huyu zito.
.
Namchukia sana kutoka rohoni mwangu.
.
Amekuwa na chuki sana na JPM kila akipata forum ya Kuzungumza anamzungumza Kwa mabaya JPM.
.
Unakuwaje na chuki na mtu ambae hawezi kukujibu Kwa lolote
View attachment 2215113
Tatizo hata hiyo logic huna, ndiyo maana una shindwa kuelewa vizuri hata huo mjadala wa mikopo. Ungekuwa unatumia akili kidogo tu, ungeona kituko cha Samia au Zitto kumponda JPM kwa ‘kukopa sana.’
A house becomes a home when family members are united.Tatizo unafanya assumption sana.
Halafu hujui kusoma kwa ufahamu.
Halafu una dimensionless flat one track mind, nikianza kujadili vitu kwa nuance huelewi. Ndiyo mwisho wa uwezo wako.
Nimeandika habari za mikopo mpaka kuweka debt to GDP ratio za Marekani na Tanzania.
Ukakimbia mjadala huo.
Tatizo hata sina hakika kama unaelewa debt to GDP ratio ni kitu gani na kama ushawahi kukisikia kabla ya leo.
Sasa tutajadiliana vipi hapo?
Wewe una inferiority complex.Hayo yote ushaongea kuhusu mimi [emoji1787][emoji1787][emoji1787], unaweza kunitukana na kutoa kashfa zote duniani, haiondoi uchawa wako kwa Samia na chuki yako dhidi ya Magufuli.
Miye nimeishia darasa 4 B, wewe sijui ni msomi wa kiwango gani, labda una ma PhD kibao Kama Tuntemeke Sanga. Unaweza kuwa na elimu yote hiyo na bado Kama wewe mtu akabaki kuwa mpuuzi.
Hizo data zako ni public, kama wewe unajua basi kaa ukijua kuwa mimi najua pia, hakuna haja ya kujadili vitu ambavyo vipo wazi. Ongea kitu kipya, acha kurudia rudia, inaonyesha chuki na hasira zako.
Pia nime notice ka elitism syndrome flani, unajiona bora kuliko wengine, ujuaji wako utakuponza!
Huna uwezo wa kunikwaza mimi wewe nyungunyungu usiye na ubongo wala uti wa mgongo.Nimemuita chawa kwa makusudi, nilitegemea itamkwaza, alivyokuwa kubwa jinga kakwazika kweli. Hovyo sana
Wewe ishu relevant hata ukiwekewa chini ya pua yako utaijua?Hiyo mpya tena, yaani leo utamaliza kashfa zote humu duniani [emoji1787][emoji1787]
Data huna bwana, acha kujikweza, wewe ni mropokaji tu.
Mwanzo uliingiza story za Marekani “ooh Marekani sijui deni nini,” nikakwambia tuachane na hayo, ni mtu ambaye unapenda kuingiza ishu irrelevant katika mjadala husika.
Hamna mtu ambaye yupo interested na maisha yako, acha tabia ya kujifanya sehemu ya mjadala! Unajichoresha. Kila mtu ana maisha hata kama anaishi chini ya daraja pale I 5.
Nakupeleka ignore list kuanzia hapa sitaona chochote utakachoandika.Miye sijasoma kabisa, ndiyo maana hata kuandika sijui [emoji1787]
Chuki yanini ndugu amekushauri ukazikwe pembeni yake kama unaona hilonikosa kumbe hupendi jamaa yule mkwapuaji au panya road ulitaka zito ampende wakati alizuia pesa za bonde lamto lwiche kazuia vingi tu vyakuja kigoma jamaa bora hivo alikufa alikuwa naroho mbaya alafu alikuwa mshamba kweli kweliWakuu nimekuwa na chuki sana na Huyu zito.
.
Namchukia sana kutoka rohoni mwangu.
.
Amekuwa na chuki sana na JPM kila akipata forum ya Kuzungumza anamzungumza Kwa mabaya JPM.
.
Unakuwaje na chuki na mtu ambae hawezi kukujibu Kwa lolote
View attachment 2215113
Kwenye hii comment yako inaonesha 2021 tu deni limeongezeka kwa 20% sasa hapo mbona inaonekana mwaka mmoja wa SSH umeongeza 20%kati ya hizo 20% riba imechangia kiasi ganiTanzania Debt Tops $37 Billion as It Increases Transport Spend
Tanzania debt tops $37 billion as it increases transport spend
By: Fumbuka Ng'wanakilala | Feb 09 2022 at 04:46 AM | International Trade
Tanzania’s national debt climbed by almost 20% last year as the East African nation ramped up borrowing to fund its infrastructure projects.
Public debt increased by $6.1 billion to $37.1 billion in 2021, the Bank of Tanzania said in a statement on its website.
Transport and telecommunication activities accounted for the biggest share of external debt, according to the report. Social welfare and education, and energy and mining followed.
Tanzania has increased public investment in rail links, roads, ports, and power plants as it looks to develop a regional trade and manufacturing hub. The government plans to increase spending by 7.4% in 2022-23 while keeping the budget deficit below 3% of gross domestic product.
The nation’s earnings from gold exports, its biggest source of foreign currency, fell 7.2% to $2.7 billion last year. Other foreign earnings, however, climbed; exports of manufactured goods such as sisal and sisal products jumped 33.5% to $1.2 billion, while travel receipts almost doubled to $1.4 billion as international tourist arrivals rebounded.
Kiranga kokote uliko am ur mpambeKuna kauli za Zitto amechemka, kama ile kauli ya kusema wanaompenda Magufuli wakazikwe naye Chato ni ujinga.
Lakini, kwenye kukopa, hili ni kweli, hata ukisikiliza mazungumzo ya Tido Mhando na rais SSH, rais kalitaja hili.
Kwa hivyo, kwenye hilo Zitto yuko sawa.
Tuache kuongozwa na hisia, twende kwa data.
Katika miaka mi5 ya Magufuli kalipa madeni ya nje kwa kiasi gani na kakopa nje kwa kiasi gani ili tufahamu kama kweli tumefanya kwa pesa za ndani au la. Maana kama kalipa madeni ya nyuma kwa kiasi kikubwa kuliko alichokopa automatically inaonesha huo mkopo ulikuwa kama pesa za ndani zimefanya kaziMkuu,
Mimi hata sijafika kwenye kusema kuwa kukopa ni jambo baya.
Kukopa hata serikali ya Marekani inayochapisha hela ya dunia inakopa, tena ina deni kubwa sana tu na debt to GDP ratio yao yetu ina afadhali.
Tukizidisha ratio yetu mara tatu bado tunakuwa hatujawafikia Marekani.
Marekani wana debt to GDP ratio ya 133%, sisi tunaikimbiza 40%
Jaribu kusoma kwa ufahamu.
Hoja kwangu hapa ni kwamba kulikuwa na propaganda kwamba tunafanya mambo kwa hela zetu wenyewe, wakati serikali imekopa sana.
Ameongeza deni kwa 66% in 6 years.Katika miaka mi5 ya Magufuli kalipa madeni ya nje kwa kiasi gani na kakopa nje kwa kiasi gani ili tufahamu kama kweli tumefanya kwa pesa za ndani au la. Maana kama kalipa madeni ya nyuma kwa kiasi kikubwa kuliko alichokopa automatically inaonesha huo mkopo ulikuwa kama pesa za ndani zimefanya kazi
Wewe jamaa Behaviourist huwa unanifurahisha sana na vikorombwezo vyako.[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2215125
Ndio hakukopa. Wewe una uhakika gani wakati kutwa nzima uko jfMimi sijasema lolote kuhusu faida ya mikopo ya rais wa sasa.
Nimesema kumshambulia Zitto kwa sababu kasema Magufuli alikopa sana si sahihi.
Kwa sababu Magufuli alikopa sana, hilo ni kweli, na mpaka rais wa sasa kalisema.
Sasa unabisha? Unataka kusema Magufuli hakukopa?
Wakuu nimekuwa na chuki sana na Huyu zito.
.
Namchukia sana kutoka rohoni mwangu.
.
Amekuwa na chuki sana na JPM kila akipata forum ya Kuzungumza anamzungumza Kwa mabaya JPM.
.
Unakuwaje na chuki na mtu ambae hawezi kukujibu Kwa lolote
View attachment 2215113
Data zinaongea.Ndio hakukopa. Wewe una uhakika gani wakati kutwa nzima uko jf
Onesha huo udini wa Zitto. 1.2.3.4Dkt Magufuli hakuwa muislamu, Zitto ni mdini! Najua kuna waislamu wasio na mrengo huo wengi tu mfano mzuri ni Mama Samia na Waziri mkuu, ila huyu kiumbe anaendeshwa na mihemuko ua ukabila na udini.
Ila ukimwelewa zitto utakuwa na matatizo ya akili kwa wale msio jua uyo nyepesi ni kipaza sauti cha bibi wa marekaniView attachment 2215126
Zitto is like a marmite, you either like him or hate him.
Mtoa taarifa c ndo amefahamika kwa wale wenye akili huru dalili zote za aliyekuwa informer wa kundi j zee ndo yupo mahari patakatifu kwa sasaPale kwenye mikopo,Zitto hakumungunya maneno,na hajaanza leo kuzungumzia mikopo ya Raisi Magufuli wakati Zitto akiwa mbunge.
Kuna watu walidhani Zitto anapika takwimu za mikopo wakati ule,kumbe Mchumi Zitto alikuwa anajua anaongea nini.
Na kama ukichukuwa hansard zake bungeni, tatizo la serikali kudanganya na kukopa nje ya utaratibu lingedhibitiwa mapema.