Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
Nipo mitaa hii, nashonashona viatu. Karibu sana.Oooh uko hapo pia??
Asanteh sanaMkuu hongera na karibu United Nations (hilo ndilo jina la barabara iliyopo shule ya Azania).
Barabara hiyo ina shule kubwa kama Jangwani Girls Secondary School ambayo inapakana na Aazania, mbele huko kuna Tambaza High School.
Shule ya Azania imekaa sehemu nzuri sana mjini, kwenda mjini kabisa Dar au Kariakoo unatebea tu, ipo karibu na hospitali ya Muhimbili.
Sina uhakika kuhusu habari za elimu kwa sasa, nimetoka mitaa hiyo siku nyingi, lakini utapata huduma zote muhimu karibu.
Cha kwanza kabisa, hama PCM ambako unaenda kupata three ya 15, njoo HKL ili upate one yako safi, ndipo twende sambamba.Kama kichwa cha uzi kinavyosema, mimi nimemaliza form four mwaka jana hivyo form five selections zimetoka na nimechaguliwa kwenda Azania sec
Hivyo najua humu kuna watu wanaishi hapo karibu au wamesomea pale naomba mnipe hali ya maisha ya pale,ufaulu wake, n.k
Natokea mikoani na itakuwa mara yangu ya kwanza kuishi dar
Combination nimechaguliwa kusoma PCM
Natanguliza shukurani
Karibuni wajibu
Funny boe
Shukrani sanasoma kwa bidii jinsi ulivyokua unasoma mwanzo zidisha mara tatu yake,usijione umefanikiwa ishi maisha yako kawaida kuwa na marafiki wanaokuzidi zaidi ikiwezekana kua na urafiki na kipanga wa mbele yako piga msuli ufaulu vizuri zaidi pia usiache ibada
Sasaivi imekuwa anganyika?Azania ilikua zamani
PCM unaenda kupata three ya 14 au 15, kisha unarudi kutumia cheti cha kidato cha 4 kuomba kusoma Diploma pale DIT au ATC.Kwanini mkuu
Saizi inaitwaje?Azania ilikua zamani
Zote ulizotaja Zina bweni, we mshamba kweli [emoji28][emoji28][emoji28]Hongera , lakin haujasema je wewe ni mwenyeji wa hapo hapo Dar es salaam au unatokea mkoa na shule ndyo umekuleta jijini ??... Kwanini nimekuuliza
1)kama umetokea mkoa kaaa uelewe Dar es salaam hamna shule ya bweni ya serikali namaanisha shule zote maarufu Dar kama
- Azania
- Tambaza
- kabasila
- chang'ombe
- jangwani
- Benjamini na nyingine nyingine wadau watanisaidia
Siyo shule za bweni , hivyo basi kuna hostel za watu binafsi ambazo huwapangisha wanafunzi kwa gharama fulani , mfano zipo ambazo kwa mwezi ni tsh 20000 mbaka 45000
Hizi za 20000/= moja zina kunguni wengii sanaa hili lazima nisa lakini pia siyo nzuri sana kwa mwanafunzi kujisomea kumbuka kwenye hizi hostel uhuru ni wakutosha unaweza hata usikanyage darasani mwezi mzima na hamna atakae kuuliza hapo msala utakuwa kati ya wewe na walimu wa shuleni kwenu
- kwasababu Azania ni boys sina tatizo ila ingekuwa chang'ombe au kibasila kule hapa ningekushauri ukasome sanaa ufuate kilichokupeleka mimi nimeshuhudia wengi wakipoteza direction kutokana na maisha ya hostel maana huko ni kawaida kukuta jamaa na demu wake wote wanasoma darasa moja wanaishi kama mume na mke . Sasa kivumbi huja wakipigana chini hivyo mwenzangu na mimi kama na wewe ni wakuigaiga kufeli nje nje ..
Yapo mengi lakini machache ni hayo
Azania hostel zipo ila kwa enz zetu ilkua kupata lazma umpe ngozye(mkuu wa shule kipnd hicho) kiasi flan cha pesa..Hongera , lakin haujasema je wewe ni mwenyeji wa hapo hapo Dar es salaam au unatokea mkoa na shule ndyo umekuleta jijini ??... Kwanini nimekuuliza
1)kama umetokea mkoa kaaa uelewe Dar es salaam hamna shule ya bweni ya serikali namaanisha shule zote maarufu Dar kama
- Azania
- Tambaza
- kabasila
- chang'ombe
- jangwani
- Benjamini na nyingine nyingine wadau watanisaidia
Siyo shule za bweni , hivyo basi kuna hostel za watu binafsi ambazo huwapangisha wanafunzi kwa gharama fulani , mfano zipo ambazo kwa mwezi ni tsh 20000 mbaka 45000
Hizi za 20000/= moja zina kunguni wengii sanaa hili lazima nisa lakini pia siyo nzuri sana kwa mwanafunzi kujisomea kumbuka kwenye hizi hostel uhuru ni wakutosha unaweza hata usikanyage darasani mwezi mzima na hamna atakae kuuliza hapo msala utakuwa kati ya wewe na walimu wa shuleni kwenu
- kwasababu Azania ni boys sina tatizo ila ingekuwa chang'ombe au kibasila kule hapa ningekushauri ukasome sanaa ufuate kilichokupeleka mimi nimeshuhudia wengi wakipoteza direction kutokana na maisha ya hostel maana huko ni kawaida kukuta jamaa na demu wake wote wanasoma darasa moja wanaishi kama mume na mke . Sasa kivumbi huja wakipigana chini hivyo mwenzangu na mimi kama na wewe ni wakuigaiga kufeli nje nje ..
Yapo mengi lakini machache ni hayo
Hostel zipo kijana ila hazitosh wanafunz wote so ili kupata nafac ya hostel pale ongea na mkuu vizur, mkono mtupu haulambwimozeh unamaanisha pale ni day school tu?