Nimechaguliwa kujiunga na AZANIA SECONDARY SCHOOL A-LEVEL 2023 wanaoijua mnisaidie hapa

Hostel zipo kijana ila hazitosh wanafunz wote so ili kupata nafac ya hostel pale ongea na mkuu vizur, mkono mtupu haulambwi
Naelewa kaka, naona bweni ni nzuri zaidi kuliko day, au??
 
Zote ulizotaja Zina bweni, we mshamba kweli [emoji28][emoji28][emoji28]
Sipo kubishana najua nachokiongea , nimesoma moja ya shule tajwa hapo hivyo kama kanielewa atayafanyia kazi ila kama atakuwa mbishi ataenda atajiona na atakuja kukiri siku moja kwa kupitia huu huu uzi
Asante .
 
Sina uhakika kuhusu habari za elimu kwa sasa, nimetoka mitaa hiyo siku nyingi, lakini utapata huduma zote muhimu karibu
Kiufupi mwambie shule ipo Mjini town km posta kariakoo ni kugusa tu kwa Mguu ushafika na library ya taifa pia haipo mbali ukihitaji kwenda kujisomea Ila changamoto walimu hapo shuleni acha nizibe Domo langu, kingine kuopoa mtoto wa Jangwani km unasoma azania ni suala la kugusa tu na ndio maana zilijengwa karibu kwa malengo nyumbulifu wajuba washanielewa
 
Kama Hesabu na Fizikia inapanda kichwani hata ukichanganya mademu haina shida, tatizo ni pale ambapo Hesabu haipandi, kama ni hivyo achana na mapenzi, soma.
Kumbuka
Hardwork beats Talent, Talent is not enough.
Hongera.
 
Mademu wa jangwani si wanaliwa na yeyote tu bro.
 
naona bweni ni unyama zaidi eeh?
 
Mazingira ya shule yanaweza yakawa mazuri ila ukayafanya yakawa mabaya, kasome, achana na mawazo ya kwenda kumiliki mabinti wa kufanya nao ngono.
 
ongea tu mkuu
 
Naelewa kaka, naona bweni ni nzuri zaidi kuliko day, au??
Yah kwa kombi yako hyo fosi bweni pale sema cjajua kwa sasa ila kipnd chetu raia walikua wanalala darasn tu na fresh asbh kukikucha godoro linaekwa juu ya dali na magodor yalkua mawili tuu so weng mnaishia kulala kwmy meza huku mnasom
 
Kama Hesabu na Fizikia inapanda kichwani hata ukichanganya mademu haina shida, tatizo ni pale ambapo Hesabu haipandi, kama ni hivyo achana na mapenzi, soma.
Kumbuka
Hardwork beats Talent, Talent is not enough.
Hongera.
Nina B ya fizikia, A ya chem na A ya math
 
Yah kwa kombi yako hyo fosi bweni pale sema cjajua kwa sasa ila kipnd chetu raia walikua wanalala darasn tu na fresh asbh kukikucha godoro linaekwa juu ya dali na magodor yalkua mawili tuu so weng mnaishia kulala kwmy meza huku mnasom
shukurani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…