999 chatta
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 758
- 1,372
Ngozie alihamishwa kitambo sanaNakazia hii comment Jf imejaa watoto wa form 2,
Ushauri: km Ngozie bado ni mkuu wa shule usiende km Ngozie alishaondolewa nenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngozie alihamishwa kitambo sanaNakazia hii comment Jf imejaa watoto wa form 2,
Ushauri: km Ngozie bado ni mkuu wa shule usiende km Ngozie alishaondolewa nenda
Dah! Mkuu umenikumbusha Maisha ya utravelaYah kwa kombi yako hyo fosi bweni pale sema cjajua kwa sasa ila kipnd chetu raia walikua wanalala darasn tu na fresh asbh kukikucha godoro linaekwa juu ya dali na magodor yalkua mawili tuu so weng mnaishia kulala kwmy meza huku mnasom
"machizi kusoma" hapo una maana gani mkuu?Dogo langu me nimepiga Azaboy O level (Lebo nyeusi), advance nikaenda mkoani shule Fulani ya ufundi. Washkaji wengi tulikataa kuendelea kusoma Azaboy, kwasababu mabraza wetu tulikuwa hatufurahishwi na performance zao.
Kufika mkoani, shule yenyewe mixture ukijumlisha tumetoka uboizini, misheria kibao, mademu wenyewe wabovu tu. Tukaanza ku compare na Ile shule na Azaboy, tukaona Azaboy Kuna potential ya kupiga marks za umaarufu kuliko pale. Tuliofaulia pale wote tulirudi Azaboy.
Dogo langu unachopaswa ukijue, Azaboy Ina walimu wengi uwezo mdogo. Kuna walimu Wametufundisha o level Wana mental issues, unachokiona kwenye matokeo ya necta ni kwasababu wanafunzi wanaopelekwa pale ni "machizi kusoma"
Ili uende Azaboy Kwa o level,lazima uwe na wastani wa A. Pili assume mwalimu Hana msaada wowote kwako, sijui kichwa chako kipoje, ila Mimi topics karibu zote za PCM nilikuwa nakava mwenyewe."machizi kusoma" hapo una maana gani mkuu?
shukurani.
Ooh! nimekupata.Ili uende Azaboy Kwa o level,lazima uwe na wastani wa A. Pili assume mwalimu Hana msaada wowote kwako, sijui kichwa chako kipoje, ila Mimi topics karibu zote za PCM nilikuwa nakava mwenyewe.
Enzi zetu kuanzia 4m4 Hadi 4m6 tulikuwa matravela (kulala madarasani au unaenda kugongea Kwa washkaji hostel).
Uzuri mazingira ya kule kila kitu unachohitaji kama mwanafunzi ili ufaulu vizuri kipo. Ni juu Yako na kichwa chako kitakavyokutuma, na ukitaka Bata ndo usiseme
Angalia usipate dume mwenzio hapo hapo hostel kwenuHawasumbui maana napenda pia 😂😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa sanaaa, khaaahAngalia usipate dume mwenzio hapo hapo hostel kwenu
Azaboy ilkuaga bata sn binafsi sikushangaaga niliposikia kuna kipnd iliingia top last[emoji28]Nilisoma hapo Azaboy advance ECA 2008-2010,tulikuwa tunakaa pale Hostel pembeni kuna watoto wa Zanaki na nyuma watoto wa Jangwani.
By that time Azaboy ilikuwa zaidi ya chuo kikuu Uhuru kama wote,hakuna Mwalimu anamfatilia mwanafunzi.
Tulikuwa tukiamka ni kwenda Maktaba ya Taifa au Ubalozi wa USA kusoma.
Kula kama una hela unaenda kula pale Muhas na wanafunzi wa chuo.
Jioni mnaenda Don bosco kucheza basketball ball au kwenda kuangalia mchezo wa golf kule Gymkan.
Asubuhi tunakimbia kuzunguka UN road,masaki na kuishia GYMkan beach pale tunaoga tuna rudi kusoma.
Usiku kuanzia SAA 4-7 tunazunguka mnazi mmoja, karikaoo na posta kuangalia Madada poa
Weekend tunaenda casinos za posta na kwenda sinza kwenye club za miziki.
Azania siku hizi kuna mabweni ChiefHongera , lakin haujasema je wewe ni mwenyeji wa hapo hapo Dar es salaam au unatokea mkoa na shule ndyo umekuleta jijini ??... Kwanini nimekuuliza
1)kama umetokea mkoa kaaa uelewe Dar es salaam hamna shule ya bweni ya serikali namaanisha shule zote maarufu Dar kama
- Azania
- Tambaza
- kabasila
- chang'ombe
- jangwani
- Benjamini na nyingine nyingine wadau watanisaidia
Siyo shule za bweni , hivyo basi kuna hostel za watu binafsi ambazo huwapangisha wanafunzi kwa gharama fulani , mfano zipo ambazo kwa mwezi ni tsh 20000 mbaka 45000
Hizi za 20000/= moja zina kunguni wengii sanaa hili lazima nisa lakini pia siyo nzuri sana kwa mwanafunzi kujisomea kumbuka kwenye hizi hostel uhuru ni wakutosha unaweza hata usikanyage darasani mwezi mzima na hamna atakae kuuliza hapo msala utakuwa kati ya wewe na walimu wa shuleni kwenu
- kwasababu Azania ni boys sina tatizo ila ingekuwa chang'ombe au kibasila kule hapa ningekushauri ukasome sanaa ufuate kilichokupeleka mimi nimeshuhudia wengi wakipoteza direction kutokana na maisha ya hostel maana huko ni kawaida kukuta jamaa na demu wake wote wanasoma darasa moja wanaishi kama mume na mke . Sasa kivumbi huja wakipigana chini hivyo mwenzangu na mimi kama na wewe ni wakuigaiga kufeli nje nje ..
Yapo mengi lakini machache ni hayo
Nakupongeza kwa hilo, Azania ni Day School , je umeshajianda ki-saikolojia kukimbizana na masomo huku ukiwa Day tena kwa jiji kama la Dsm? Na wewe umechaguliwa kusoma PCM?Kama kichwa cha uzi kinavyosema, mimi nimemaliza form four mwaka jana hivyo form five selections zimetoka na nimechaguliwa kwenda Azania sec
Hivyo najua humu kuna watu wanaishi hapo karibu au wamesomea pale naomba mnipe hali ya maisha ya pale, ufaulu wake, n.k
Natokea mikoani na itakuwa mara yangu ya kwanza kuishi Dar
Combination nimechaguliwa kusoma PCM
Natanguliza shukurani
Karibuni wajibu
Funny boe
[emoji1][emoji1][emoji1], hatari na nusu..mnyama Phy!Wakongwe tuliopambana Advanced Physics, Chemistry, Biology, Pure Math tunakuzoom tu hata utanie au usitanie..
Tafuta nyuzi zinazohusu Advanced Physics humu uone shuhuda za watu jinsi walivyohenyeshwa na Phyz
Mimi niliijua kipindi niko form 1 .Form 4 umeijuaje Jamii forum,maajabu haya
Chai ,bweni za kimchongo mfano Azania haichukui wanafunzi wote kuna kundi kubwa wanaishi nje ,Tambaza hostel kwa girls pekee.Hizo shule zote kwa advance ni bweni.
Hahaha dah naona ngumu japo form 4 nimetoka na points 4
Duuuh hatari mbna, hata sikuwa najua, nkawa najua kwa advance bweni wote.Chai ,bweni za kimchongo mfano Azania haichukui wanafunzi wote kuna kundi kubwa wanaishi nje ,Tambaza hostel kwa girls pekee.