Nimecheka sana hili bango nililoona hapa Korogwe mjini -Tanga

Kwani mna mdai nini nyie?
 
Aliyechaoisha yupo sahihi.Mana hawana wanachofanya.Mama ndiye anafanya na ndio maana unaona hayo mashimo.
Mama angejua asingeacha kufanya na kuziba,Mama ni msikivu na amefanya mengi sana.

Shida ni kwa hao waliochaguliwa na Mama kutenda na kusimamia kazi zao.
Bahati mbaya Mama hajui kuwa hao wanakula mishahara ya bure na kumaliza pesa zetu za kodi.

Hii Nchi yapaswa kubaki mhimili mmoja tu "SERIKALI"
Wabunge tupige chini wanamaliza pesa nyingi sana.
Elewa kila kitu hii Nchi kinafanywa na Mama.
 
When Masters Do not care the pain of the Slaves
😅😅
 
ni jikumu la Mbunge jujenga Barabara? Taifa limejaa wajinga na wewe unaweza kuta umeenda shule na hata Chuo pia.

Ndio huwa mnadanganywa jwamba kazi ya mbunge ni kuleta maendeleo?

Kenya Bunge lao walisha achana na huu ujinga na hata Raia wa Kenya wanajua Wabunge wao sio jukumu lao kuleta maendeleo bali kuisimamia Serikali.
 
Ina maana wakaazi wa huo mji wameridhika na hizo Barabara,kiasi kwamba hawataki zitengenezwe na serikali ya huyo Mama????.... Ajabu kwelikweli...
 
Noma sana
 
Hii yote nisababu ya Rushwa na Tabia za Kuiba kura.
 
Hii ndio Tanganyika ya CHURA.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Nitajie kazi moja tu ya mbunge wewe juha
 
Kwakweli Mama amejitahidi sana hasa kwenye elimu , na afya amejenga madarasa ,vituo vingi vya Afya . Hiyo barabara haipo Korogwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…