Nimecheka sana hili bango nililoona hapa Korogwe mjini -Tanga

Watu wameshikiwa akili mzee,masikini wengi hawana reasoning..aliyebuni hayo mabango ananufaika na mfumo.,masikini wanapita hapo lakini wafanye nini?
 
Wasambaa huwaambii lolote kuhusu sisiem, licha ya maendeleo duni ya majimbo mengi mkoani Tanga. Nenda Bumbuli kipindi hiki cha mvua🤣
 
Taifa letu limejaa machawa na wajinga.
 
Huna haja ya kutukana. Anyway mbunge kazi zake ni oversight, representation and legislation. Hizo za kujenga barabara ni kazi za executive. Rudi darasani kusoma civics au DS100/200
Representation including hayo mashimo..
Kwenye barabara ndio maana anaitwa mbunge wa jimbo fulani..
It means anawajibika /anawakilisha eneo hilo ikiwemo ubovu wa barabara..
Rudi darasa la nne B
 
Representation including hayo mashimo..
Kwenye barabara ndio maana anaitwa mbunge wa jimbo fulani..
It means anawajibika /anawakilisha eneo hilo ikiwemo ubovu wa barabara..
Rudi darasa la nne B
Kwa hiyo Mimi kama mbunge nikishawakilisha tatizo kwa halmashauri ambao wanakusanya Kodi wanapewa Tarura naingia wapi tena hapo. Si nimemaliza representation yangu. Au unamaanisha nitoe hela mfukoni?
 
Yaani jamani watanzania sijui tumelogwa na nani hatuoni kabisa yanayoendelea
 
Ukijua maana ya uongozi utaacha kuandika utumbo
 
Ukiwa chawa hata akili zinakua za mwanadamu aliepungukiwa akili,and huna aibu kwa chochote unachofanya.
Kingine Africa Ili uweze kula na kipofu lazima umsifie hata km ni ujinga
 
Huyu mtu aliyeanzisha mambo ya uchawa akamatwe apigwe mpaka aseme kwa nini anaharibu nchi yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…