Naleta kwenu hili wadau naimani mtanishauri vyema. Nataka kucha kazi yangu ya ualimu niliyodumu nayo Kwa miaka mitano(5).
Sababu kubwa za kuacha kazi.
( 1) Nilicho kitegemea na nilichokikuta ni tofauti nimegundua (mtaani nilikuwa na tengeneza pesa nyingi kabla ya kuajiriwa)
(Ii)Nahitaji uhuru. ( Nashindwa kusimamia mambo yangu Kwa ubora unaotakiwa Kwa sababu ya kutokuwepo eneo husika).
(iii)Naamini sana katika uwezo wangu maana najijua Mimi ni mpambanaji.
CHANGAMOTO.
Naomba ushauri kwenu wadau, ukiwa na mkopo bank na ukaamua kuacha kazi ya ualimu baada ya kuacha kazi nini huwa kinafuata Kwa mwajili wako(serikali) na bank. Kwa mwenye uzoefu msaada tafadhali.