Nimechoka kuajiriwa, nataka kujiajiri

Nimechoka kuajiriwa, nataka kujiajiri

Sina deni mkuu ila natamani nilipue bank afu nitembee , maana ninaamini mkopo Bado naweza kuulipa vizuri.
USIJARIBU kufanya huu Ujinga, Mtaa utakukataa mazima.

Make sure unaacha kazi ukiwa CLEAN, huwadai na wao hawakudai. Kama unahitaji Mkopo basi tumia mali zako kuchukulia huo mkopo na sio ukope bank halafu uache ajira, HUTATOBOA MILELE.
Note: kama huna asset yoyote unayoweza kuombea mkopo basi ujue bado haupo tayari kuja mtaani. Endelea kujichanga.

Vilevile usiende kujiajiri kisa umepata MZUKA au kwa-IMANI. Kujiajiri kunahitaji mikakati, subira, mbinu, ujasiri na mipango madhubuti hasa kwa mtu ambaye unatoka kwenye ajira.

Be a Man, integrity ndio Msingi kwenye kujiajiri. Acha ujanja ujanja. Be Legit.
 
Asante Kwa ushauri!
 
Naleta kwenu hili wadau naimani mtanishauri vyema. Nataka kucha kazi yangu ya ualimu niliyodumu nayo Kwa miaka mitano(5).

Sababu kubwa za kuacha kazi.
( 1) Nilicho kitegemea na nilichokikuta ni tofauti nimegundua (mtaani nilikuwa na tengeneza pesa nyingi kabla ya kuajiriwa)

(Ii)Nahitaji uhuru. ( Nashindwa kusimamia mambo yangu Kwa ubora unaotakiwa Kwa sababu ya kutokuwepo eneo husika).

(iii)Naamini sana katika uwezo wangu maana najijua Mimi ni mpambanaji.

CHANGAMOTO.
Naomba ushauri kwenu wadau, ukiwa na mkopo bank na ukaamua kuacha kazi ya ualimu baada ya kuacha kazi nini huwa kinafuata Kwa mwajili wako(serikali) na bank. Kwa mwenye uzoefu msaada tafadhali.
Nakuungà mkono
 
Niweke sawa sijakopa ila ninatamani kulipua bank then nitembee Sina hata mia ninayo daiwa bank mjomba🤣🤣🤣.
Hii hata wajeda huwa wanafanya , private ana uhakika wa 20M so amehitimu tu akikaa miezi ama mwaka kabla haujaisha huyo akasepa na mkopo, fanya ilo dili. Hata wanafunzi waliokuwa wakienda kusoma Russia walikuwa wakipewa bumu na ada wanachukua hela around 7k-9k USD wanasepa miaka iyo ya zamani kidogo
 
Kumbe una uzoefu
Yap! Nabado nipo kazini Kuna vitu nafanya nje ya box ingawa siyo Kwa ukubwa naoutaka Mimi na hii ni Kwa sababu ya muda maana Kuna muda nachoka kumdanganya mkuu Ili nikashughulikie mipango yangu ko sometime nashindwa kutoa matokeo mazuri kwenye project zangu Kwa sababu ya kutoatend site muda mwingi.
 
Mimi nitakufata sio muda, japo mimi Niko na miaka miwili, Nina hekari 15 za mashamba, japo nataka nifikishe hekari 30, ya zao la michikichi baada ya hapo nachukua hela zangu zoote, hakuna anayeacha kazi wewe kama ni biashara au kilimo unakua unafanya uko, unarudi shule unakaa siku Moja au mbili unaondoka Tena, yaani mpaka watakufukuza wenyewe. Mimi nataka nisimamishe kwanza biashara, mashamba n.k then nisepe, kuondoka bila ya kua na chanzo cha uhakika, utaliaa mpaka utaitamani hiyo laki 3.
 
Unalima wapi? Ingia Instagram jamaa mmoja anajiita feller biashara yupo iringa huko, anafanya zake kilimo cha parachichi, Yuko na uhuru na anafanya anachokipenda,
 
Mimi nitakufata sio muda, japo mimi Niko na miaka miwili, Nina hekari 15 za mashamba, japo nataka nifikishe hekari 30, ya zao la michikichi baada ya hapo nachukua hela zangu zoote, hakuna anayeacha kazi wewe kama ni biashara au kilimo unakua unafanya uko, unarudi shule unakaa siku Moja au mbili unaondoka Tena, yaani mpaka watakufukuza wenyewe. Mimi nataka nisimamishe kwanza biashara, mashamba n.k then nisepe, kuondoka bila ya kua na chanzo cha uhakika, utaliaa mpaka utaitamani hiyo
 
Mimi nitakufata sio muda, japo mimi Niko na miaka miwili, Nina hekari 15 za mashamba, japo nataka nifikishe hekari 30, ya zao la michikichi baada ya hapo nachukua hela zangu zoote, hakuna anayeacha kazi wewe kama ni biashara au kilimo unakua unafanya uko, unarudi shule unakaa siku Moja au mbili unaondoka Tena, yaani mpaka watakufukuza wenyewe. Mimi nataka nisimamishe kwanza biashara, mashamba n.k then nisepe, kuondoka bila ya kua na chanzo cha uhakika, utaliaa mpaka utaitamani hiyo laki 3.
Welcome!
 
Back
Top Bottom