4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Punda wa nchi hii ni mfanyakazi, alafu utasikia mtu anasimama ati walipa kodi nchi hawafiki m3 , ccm ,inatakiwa kuondoka madarakani hata kesho aisee,🤣🤣🤣 Asante Kwa kusema ukweli!!! Mfanyakazi ndo analipia Kodi kuliko mtu yeyote Tanzania na Hana kwakukwepea
Mfanyakazi wa nchi hii ni shida, alafu vyama vyao wanawakata pesa ili nini wanawafanyia katika kuwatetea hakuna ,wao ni kusubili mei mosi kuwatwika wenzao mabango ,leo chawa tz wa ccm mapato yake kwa mwezi ni makubwa kuliko mfanyakazi wa nchi hii, ala ndo kwanza kila mei mosi yapo uwanjani yanapigwa jua.
Kuna mda huwa nawaza hii nchi nitumie njia gani kuisaidi nakosa jibu.
Leo apa tunawasemea wafanyakazi ila wao wapo wapo tu ,walim na shida iliyokuu ndani ya nchi hii