ualimu wito
Member
- Nov 11, 2013
- 20
- 45
Niliwahi kukopa kiasi kidogo cha pesa, Tsh 10M mwaka juzi mwezi March, ilipofika June nikaenda kununua mpunga bahati isivyo yule mwenyeji akanifanyia hujuma akaniwekea mpunga mbaya wakati wa kukoboa ukawa unavunjika vunjika sana na bei kwa mwaka jana haikuwa nzuri, so nilipata hasara ambayo ilinikata mtaji huo.
Kilichonisaidia mwaka jana nilipata dili likanipa 20M so ndio angalau ikapunguza maumivu ya hiyo hasara. Ndio ambayo nimefanyia misheni zangu katika mwaka wa fedha unaoendelea.
Lakini yule aliyenifanyia hujuma hiyo kwa sasa amefirisika kuna jambo alilifanya likamharibia mishe zake zote za pesa.
Wito wangu kwako,
1. Usidhamirie kukopa na kukimbia na deni, hapo unajinyima baraka kwenye biashara zako unazoenda kufanya.
2. 15M unayotaka kukopa sio hela nyingi sana kama na kuishi kwako kutategemea biashara hiyo hiyo. Lakini pia ni vema ukafanya kwanza biashara kwa kutumia sehemu ya mshahara wako ukaona mwelekeo wa biashara hiyo, kukopa kuje baadae na iwe ni kwa ajili ya kutop up kwenye biashara inayoendelea ambayo umeshaiona mwenendo wake.
Nakutakia kila lakheri katika kujikomboa kiuchumi