jooohs
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 2,524
- 10,287
Usiache ajira hujajipanga ndugu utachaka hata pesa ya vocha itakukosa.
Ushauri jipange kwanza ukiwa kazini, biashara, kilimo etc ikishasimama vizuri ndio uachane na kazi.
Kumbuka kuna maelfu ya watu wanapambamia usiku na mchana hiyo kazi yako na bado wanakosa mtaani kugumu.