Karibbu sana mi home boy sumbawanga but kikazi nipo chunyaUko vizuri, Mimi nipo kigoma japo nitaanza kutembelea uko.
Poapoa. Walimu wengi wamesepa tu, ili chimbo ukirelax umaskini unauona hapo.Karibbu sana mi home boy sumbawanga but kikazi nipo chunya
100% True, atalielewa hili akifika huku mtaani. Labda kama ana ndoto za kupata laki laki za kula na sio kukua.Waswahili wanasema kama huna intergrity ukiwa umeajiriwa huwezi kujiajiri
Nikweli,,Usiache ajira hujajipanga ndugu utachaka hata pesa ya vocha itakukosa.
Ushauri jipange kwanza ukiwa kazini, biashara, kilimo etc ikishasimama vizuri ndio uachane na kazi.
Kumbuka kuna maelfu ya watu wanapambamia usiku na mchana hiyo kazi yako na bado wanakosa mtaani kugumu.
Nikweli nimekusomaAta mimi niliacha ajira ingawa ni sector binafsi
Mpaka sasa najitafuta kivyangu vyangu
Ila tu unapo toa roots zako sehemu kwenda kuzipanda sehemu nyingine
Huchukua muda sana kumea tena
Sijui umenielewa ndugu mtumishi wa umma???
Shukran sana mkuuFanya hivi, miliki hekari 50, chimba kisima shambani, upate maji ya uhakika, then kapambanie ndoto zako.
Eti ni kweli maafande huwa mnafundishwa kuwa kuchukua rushwa ni kubambikia raia kesi ni jukumu lenu?Mimi nilikimbia maisha ya kiafande saivi nipo huru, eti kufuata order 😏😏😏 Mimi napenda Amani kuliko Fedha
Kweli mkuu,, ukiwa na dream kubwa unazikwa nazoPoapoa. Walimu wengi wamesepa tu, ili chimbo ukirelax umaskini unauona hapo.
NATO wakikusikia umekwisha ajira ni mateso kama sio ujingaNaleta kwenu hili wadau naimani mtanishauri vyema. Nataka kucha kazi yangu ya ualimu niliyodumu nayo Kwa miaka mitano(5).
Sababu kubwa za kuacha kazi.
( 1) Nilicho kitegemea na nilichokikuta ni tofauti nimegundua (mtaani nilikuwa na tengeneza pesa nyingi kabla ya kuajiriwa)
(Ii)Nahitaji uhuru. ( Nashindwa kusimamia mambo yangu Kwa ubora unaotakiwa Kwa sababu ya kutokuwepo eneo husika).
(iii)Naamini sana katika uwezo wangu maana najijua Mimi ni mpambanaji.
CHANGAMOTO.
Naomba ushauri kwenu wadau, ukiwa na mkopo bank na ukaamua kuacha kazi ya ualimu baada ya kuacha kazi nini huwa kinafuata Kwa mwajili wako(serikali) na bank. Kwa mwenye uzoefu msaada tafadhali.
Sidaiwi chochote bro, nimeweka sawa kuwa natamani kukopa afu ndo nitembee na sitaki kuanzia kufuatilia et mafao naona yatanitoa kwenye focus nataka nikitoka nimetoka naenda kwenye ku implement project zanguKiongozi;
Nakushauri kama kaka yako; badala ya kuacha kazi, tumia huo mshahara wako kuajiri mtu wa kusimamia kazi zako za shamba; hadi upate mtaji wa kueleweka na ulipe deni unalodaiwa Ili ukiamua kuacha hata kama ni baada ya miaka mitano mingine... kwanza unakuwa na mtaji wa kueleweka na unakuwa hudaiwi.
Najua kwa sasa unakatwa karibia nusu ya mshahara kulipa deni ndio sababu unakata tamaa....ILA bora kukomaa hivyo hivyo......kilimo cha kwetu ni kigumu sana hasa kwa sababu ya kutegemea mvua...... masoko ya kuunga unga hasa ukiwa na mtaji mdogo.....
🤣🤣🤣NATO wakikusikia umekwisha ajira ni mateso kama sio ujinga
Mtu basic salary inaweza kuwa 1.6 mfano ila anachoendanacho kwa mwezi nyumbani laki 9, uyu mtu ukiangalia salary slip yake utashangaa , makato ya kodi, sijui viduduasha gani , nchi ipo na wizi sana aisee kwa wafanyakazi
Karibu mtaani. Huku ,ustaarabu unaweka kando.Asante mkuu! Fursa niliyoiona Mimi nikilimo na nimekuwa nikilimo na nimekuwa nikilima tangu naajiriwa so natamani kwenda kufanya Bora zaidi.
🙏Karibu mtaani. Huku ,ustaarabu unaweka kando.
Ubunifu, adabu, kujituma, kutokata tamaa, na kutokua na tamaa na uvumilivu ndio msingi, vinakaa mbele.
All the best
🤣🤣🤣 Asante Kwa kusema ukweli!!! Mfanyakazi ndo analipia Kodi kuliko mtu yeyote Tanzania na Hana kwakukwepeaNafikiri nchi hii ,mfanyakazi ndo wanakomolewa kwa kodi, na takataka zingine ambazo hazina tija kwenye makato yao ukiondoa bima ya afya ambayo ni muhim plus uchangiaji wa mifuko.
Mtu anaelipwa m3 kwa mwezi kodi sio chini ya laki tano, lakini bado uyu mfanyakazi analipa kodi kwenye biashara yake ndogo, kwenye mafuta, na kilq aina ya huduma anayopata.
So mshahara wa mfanyakazi unatozwa kodi sio chini ya mara 20 kwa mwezi ila wafanyakazi huwa hawajui hili.
Mbunge akatwi kodi pamoja na malipo yake makubwa .
Kwa kifupi mfanyakazi wa serikali ni mwendawazim aliechangamka