Nimechoka kudanganywa na vijana natafuta jibaba

Sasa mwanaume kwenye age ya 40's huna investment yoyote kweli utafaa kitu? ulikuwa unafanya nini ujanani? Ila mpatanishi nakuona kama unafaa vile

Dada we wataka investment au wataka mapenzi ya dhati? ckusomi atii
 


Hakieditiwi kitu hapa wala nini, ukiona masharti ni magumu ujue huna vigezo....... mtu mzima hovyooo!!!! kama unaona haikidhio vigezo si uweke yako, unajifanya mchambuzi kwenye thread za watu. kwa taarifa yako kama unaona ugumu hukutumwa usomwe, Kama nimekukwaza leave me alone
 
Reactions: EMT
Hahaha....lol EMT umemaliza kila kitu hapo...
 
Reactions: EMT
Dada this is JF "Where We Dare To Talk Openly" sasa ukitegemea positive comments tu hapako hivyo hapa so just learn to understand whatever comes your way kama ulikuwa unategemea kupata Positive comments tu, pole.
 
Sasa mwanaume kwenye age ya 40's huna investment yoyote kweli utafaa kitu? ulikuwa unafanya nini ujanani? Ila mpatanishi nakuona kama unafaa vile

teh teh teh wala sikufai bibie ndo kwanza nina 29 natafuta kijana mwenzangu mie tukale viapo.

Wewe subiri wazee tu.
 

safi sana,bora umempa kubwa huyo.........JF IS NEVER BORING,source The Boss LOL
 
khaaaaaa Sodoma mimi hapana jamani, narudia tena huko hapana sijafundishwa kabisa wala sitaki kujua !!!!!
Kwe kwe kwe kwe!! Nacheka mbele za watu we nakadori kichaa sana I wish nikujue ni ... Basi plz.
 
safi sana,bora umempa kubwa huyo.........JF IS NEVER BORING,source The Boss LOL

Kuna watu huku JF wanajifanya wao wanajua kila kitu, kama yeye ni mjuwaji na analyst si akamshauri raisi huko waokoe nchi ya tanzania isididimie.
 
Reactions: EMT

Mie niweke vigezo vyangu kwani natafuta mke? Mie sijifanyi mchambuzi bali nimechambua thread yako. Ulitaka nikufagilie kwa thread nzuri? Kama ulitaka usichambuliwe, then usingeleta hii kitu hapa JF. Hapa we dare to talk openly. Unalist vigezo unavyotaka, lakini hutaki kutoa vyako? Kama wewe ni mwanamke wa ukweli then weka sifa zako hapa pia tuzilinganishe na vigezo unavyotaka. Ukitaka kula lazima uliwe unless unaogopa kutatendwa hata hapa JF kama hao vijana walivyokutenda.
 
 
kabla ya kufanya maamuzi jaribu kujipima wewe binafsi, inawezekana tatizo lipo kwako na pasipo kuangalia na kujichunguza kwa umakini, unaweza ukasema upo sahihi, kumbe kuna vitu fulani fulani ambavyo vimekuwa ni vikwazo kwa waliotangulia!!
enockmbm@gmail.com
 

Umemaliza?
 
Kwani mimi nimesema unachambua nini kama thread, Nimeshakwambia kama nakukera leave me alone! husikii, kwani JF thread ni hii tu? kwenda kuleeee, kwanza kutendwa kitu gani kwani me ndio wa kwanza kutendwa? kwanza siteta na vitonto ng'ombe je ramoke

Umesema najifanya nachambua, mie nimekujibu sijifanyi ila nachambua kweli. Kiswahili kigumu nini? Mimi sijakerwa kama unavyojaribu kufanya assumptions. Nimechambua thread yako kama ninavyochambua thread nyingine. Au kuchambua thread the way didn't want, ndio unafikiri umenikera? Unikere kwani nakujua? Ulitaka niipe thread yako upendeleo?

Umesema I should leave you alone. I can't leave you alone, simply b'se I have never been with you anyway. How can I leave you? JF kuna thread nyingi lakini kila member anao uhuru wa kuchangia thread yoyote. Kama ulitaka thread yako isichangiwe na watu fulani, then badala ya kuazisha thread ungewa PM or you should have stated specifically in the thread that you don't like certain people (wachambuzi) to post on it (which of course is impossible).

Unaniambia niende kuleee. Ndio wapi huko? Kuhusu kutendwa ni kitu gani, wewe ndio umesema umetendwa na vijana na kwamba sasa unahitaji wababa kwa vile hawatakutenda(?). Ulikuwa na maana gani? Kuhusu kama wewe ndio wa kwanza kutendwa, kwani mimi nimesema wewe ndio wa kwanza au mwisho kutendwa?
 

Nimeamini wewe ni much-know, tufanye umeshinda! umefurahi eeeh?
 
Reactions: EMT
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…