Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Nimeamini wewe ni much-know, tufanye umeshinda! umefurahi eeeh?
Kubali tu umeshindwa kujibu hoja kwa hoja manake Bw. EMT kazipanga na kuzipangua hoja zako kama matofali. Sijaona ujuaji wowote toka kwake. Pole.
NN please, niachie huyu mtu, wewe sitakuweza jamani. huyu mwenyewe naona anarudia pale pale tu (anazunguka), sijaona jipya kutoka kwa EMT sijui ATM sana sana ananipotezea tu muda wa kujibu PM, si unajua tena muda huu maombi ndio yanatumwa baada ya uzi kusomeka..... niko busy sana nainterview watu may be akitaka ubishani labda anitafute next weekend
Nimeamini wewe ni much-know, tufanye umeshinda! umefurahi eeeh?
The fact kwamba hukubaliani na nilichoandika, does not mean that I know too much. Sina haja kufurahi simply because umeniambia nimeshinda. The season is sipo hapa kwa ajili ya mashindano. I am always a happy person anyway. But naamini kwenye post yangu ya mwanzo nilikuwa natoa tuu constructive criticisms kama tunavyotoa kwenye threads nyingine za kutafuta wachumba kama bidhaa vile. Ndio maana AshaDii aliamua kuanzisha hiyo thread niliyokupa link hapo juu.

Unanichefua tena ngoja nirudi, kwani Ashadii ndio kipimo cha perfection humu JF? kila mtu ana kipimo cha kujudge na kuperceive relity, hatuna singular triuth babu. Pia tambua hiyo ndio style yangu ya kupost atakayeona anahitaji ata PM then nimeandaa desa lenye picha, na maelezo kuhusu mimi ambalo ninamforwadia tu atasoma!! kaka hebu nyamaza huna hoja una viroja

Basi, basi, baaaasi mkuu utamkimbiza huyu! Badala ya m'baba utamfanya akatafute m'babu sasag teh teh teh. Jf 4 real

Wewe yani huyu mbeba mabox anaejifanya analyst anikimbize?ninaona anaysis ya mabox imemchosha, alae kesho ifike aendelee kuanalyse mabox huko
Ndo nikuulize na wewe ujiulize mwenyewe. ulivyozoea kuyapanga mabox unafikiri na hoja utazipanga vilevile eeeeh?? wa wapi wewe??
Kama wote wamekumwaga basi we kicheche.
40 mpaka 50??? Huyo atakuwa mbabu asee! Chukulia umpate afu akuzalishe mtoto, atamaliza lini kumlea? Mtoto akiwa na 10yrz mama una 37 baba 47 au 57!! Khaa.