Nimechoka kudanganywa na vijana natafuta jibaba


mi nahisi tatizo you are too emotional and easy to give full trust kwa umpendae( yani unakufaga na kuoza) may be unatoa mambo yetu yale mapema! sasa unatakiwa uwe makini sio mzima mzima! Na uyasemayo kuhusu vijana ni Hasira tu zitaisha! Kwani we binti mdogo bado
 
Kumbe matatizo yanaharibu uwezo wa mtu kufikiri.
OTIS
 
= kabisa
 
Shost unaruka mkojo unakanyaga mavi.. Miaka kadhaa iliyopita kabla sijawa na family yangu nilipata mawazo kama yako baada ya kutendwa .
nikachukua uamuzi kama wako ambao kweli nilipata kibabu kama nilivyotaka 49 yrs old lla nilijutia uamuzi huo. Jamaa alikuwa na mihela sana tu amejijenga kama unavyotaka wewe..

Lakini alikuwa na gubu, anavyowaza yeye ndio na wewe ufate, ushauri hataki anaona yeye mkubwa, kila saa anawaza kuibiwa sababu yeye kumbe alikuwa mcharuko wa kisiri ingawa umri umeenda.

Kutoka out hataki, uongee na watu hataki, siku zote anakuchukulia wewe mtoto…. Kujing'amua kwenye uhuasiano huo ilinigharimu zaidi ya uhai ..sitasahau..

Mie hata sikushauri uingie huko....:A S-coffee:
 
Reactions: EMT
Duuh sio mchezo...kama ingelikuwa ni mimi nisingethubutu maana hizo donts zimekuwa nyingi kupita kiasi. By the way, mapenzi si yapo machoni mwa anayetazama? Au siku hizi mambo yamekuwa tofauti, maana hii staili ni kama bora liende...
Usikate tamaa na maisha. Jipange vizuri, utapata mtu anayemeet standard zako.
 

We binti, kama we ni binti kweli, maana humu jamvini kuna ku-dramatise mambo. Binti, Kizazi cha sasa lazima ukumbane na hayo mambo ya kudanganya!!! It is a pity that nasema hivyo!! Ndio hali halisi. Mbane mtu usilegee, lakini kukimbilia wazeee nisingelikushauri. Unakwenda kubaya, mbona na wazee ni wahuni!! We ni msichana lazima uanze na vijana wenzako. Futa mawazo ya kuolewa na mzee!!! Ikibidi jifanye umeokoka umbake mtu kama wanavyofanya walokole maji yakizidi unga.
 
Nitafute kuanzia jioni 0753971536 sifa zote ninazo!SERIOUSLY...
 
hesabu ni somo gumu sana hapa...


 

dah! si umeona hee, halafu kuna mmoja ndo kaamua kutuchana kabisa eti tuko kama panzi
tukipewa mzigo mara moja hooi pwaa, dah! wamesahau vibabu wengi ni "naturali" hatujui
maziwa ya kopo wala nini ,-)
 
pamoja na yote uliyopokea na kushauriwa, mimi nipo tayari na ili kukuhakikishia kuwa ninayo nia, nataka kwanza tufahamiane kabla ya kufanya lolote na kila mmoja akiridhika na mwenzake basi tunafanya makubaliano ok. email cmtemi70@ymail.com. please i promise you will not regret it.
 
toa mawasiliano sasa maana naona hapa hakuna njia ya kukupata moja kwa moja. napita tu
 
ingekuwa woote wenye umri wa 40 mpaka 50 wamejenga basi tanzania ingejaa majumba mpaka serengeti.punguza vigezo.la sivyo............................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…