Nimechoka kuishi Bongo

Nimechoka kuishi Bongo

Habarini za humu wadau,

Mimi ni kijana wa 26 yrs, mkazi wa Dar es Salaam, nakaa Sinza. Nina kazi nzuri tu ambapo napata mshahara wa 2m+ basic salary. Sina mtoto wala sijaoa,nategemewa na famili yangu huko mkoani, pia ni kijana wa kwanza kwetu,wapo wadogo zangu kama wawili hivi.

Sawa ninapata pesa, nina kazi nzuri pia nina have fun weekends ila naoa life yangu hapa bongo kama bored hivi. Natamani nisave hata kwa mwaka na niuze vi assets vyangu nipate hata 20m hivi niende Marekani au UK huko. Sijui kwa nini lakini akili yangu ndo inanituma hivyo.

1. Kusanya pesa...
2. Tafuta chuo, ukipata scholarship au fellowiship programs itakuwa poa zaidi...
Hii ndio njia rahisi ya wewe kwenda hizo nchi umetaja.
3. Usioe kwa sasa kabla ya kutimiza hayo, maana kama ukifanikiwa na ukataka kuishi katika nchi umetaja, moja ya namna rahisi itayofanya uendelee kukaa huko ni kitafuta mchuchu raia na kumuoa...
 
Nipo London mwaka wa 35 leo na maisha ni mazuri sana nasubiri kustaafu nikanunue nyumba Spain au France 😄
Kama Mungu akinipa uzima na afya njema
Swali,kama halitaathiri uliyonayo.

Kwanini Spain au France...au Uingereza kuna changamoto yoyote?

Vipi na German kimaisha.
 
Swali,kama halitaathiri uliyonayo.

Kwanini Spain au France...au Uingereza kuna changamoto yoyote?

Vipi na German kimaisha.
Uingereza sio sehemu ya retirees kwa sababu moja tu nayo ni hali ya hewa
Ila France au Spain hali ya hewa ni nzuri sana na hata maisha sio ghali kama hapa 🇬🇧
Rural areas ni nzuri kwa mtu kama mimi nisiependa makuu
Mjini hapana nimekaa sana inatosha
Kuhusu Germany ni pazuri pia especially health system yao wako mbali sana na hata miji yao mizuri sana

Naona Wamarekani ndio wanastaafu sana huko
Kwa mimi ni hizo mbili
 
Uingereza sio sehemu ya retirees kwa sababu moja tu nayo ni hali ya hewa
Ila France au Spain hali ya hewa ni nzuri sana na hata maisha sio ghali kama hapa [emoji636]
Rural areas ni nzuri kwa mtu mimi nisiependa makuu
Mjini hapana nimekaa sana inatosha
Kuhusu Germany ni pazuri pia especially health system yao wako mbali sana na hata miji yao mizuri sana

Naona Wamarekani ndio wanastaafu sana huko
Kwa mimi ni hizo mbili

Wewe hutaki kuja kustaafia huku kwenu unataka kustaafia kwenye nchi za watu?
 
Uingereza sio sehemu ya retirees kwa sababu moja tu nayo ni hali ya hewa
Ila France au Spain hali ya hewa ni nzuri sana na hata maisha sio ghali kama hapa 🇬🇧
Rural areas ni nzuri kwa mtu mimi nisiependa makuu
Mjini hapana nimekaa sana inatosha
Kuhusu Germany ni pazuri pia especially health system yao wako mbali sana na hata miji yao mizuri sana

Naona Wamarekani ndio wanastaafu sana huko
Kwa mimi ni hizo mbili
OK,nimekupata sana,nitakurudia kwa maswali mawili matatu baada ya mwaka au zaidi kidogo kama Mungu atajalia.
 
Wewe hutaki kuja kustaafia huku kwenu unataka kustaafia kwenye nchi za watu?
Huwezi kujua labda hata babu zetu hawakuwa kabisa wa nchi walikostaafia huenda walitoka nchi zingine wakahamia Tz na kulowea hapo mpaka wanastaafu

Binadamu wanaenda sehemu halafu wakiishi ndio wanapaita kwao
Hata wewe unaweza kuja ulaya ukaoa ukapata watoto na watoto ikawa hapa ndio kwao, wakawa na elimu yao hapa na wakapata kazi hapa hapa
Na wewe maisha yako baada ya miaka 40 au zaidi itakuwa hapa ndio kwenu

Dunia ndio iko hivyo huamui wewe bali maisha yanakuja yenyewe
 
Habarini za humu wadau,

Mimi ni kijana wa 26 yrs, mkazi wa Dar es Salaam, nakaa Sinza. Nina kazi nzuri tu ambapo napata mshahara wa 2m+ basic salary. Sina mtoto wala sijaoa,nategemewa na famili yangu huko mkoani, pia ni kijana wa kwanza kwetu,wapo wadogo zangu kama wawili hivi.

Sawa ninapata pesa, nina kazi nzuri pia nina have fun weekends ila naoa life yangu hapa bongo kama bored hivi. Natamani nisave hata kwa mwaka na niuze vi assets vyangu nipate hata 20m hivi niende Marekani au UK huko. Sijui kwa nini lakini akili yangu ndo inanituma hivyo.
Nchi gani ya nje umesafiri mpk ukatamani kuacha kazi na kwenda kuanza upya , Kaka hebu jichange ukatembee kwanza ujionee mwenyewe .Nyumbani ni pazuri unatakiwa ujipange au kwa kifupi fanya tour ya mikoani ujionee.
 
Kenya
 
Habarini za humu wadau,

Mimi ni kijana wa 26 yrs, mkazi wa Dar es Salaam, nakaa Sinza. Nina kazi nzuri tu ambapo napata mshahara wa 2m+ basic salary. Sina mtoto wala sijaoa, nategemewa na familia yangu huko mkoani, pia ni kijana wa kwanza kwetu, wapo wadogo zangu kama wawili hivi.

Sawa ninapata pesa, nina kazi nzuri pia nina have fun weekends ila naona life yangu hapa bongo kama bored hivi. Natamani nisave hata kwa mwaka na niuze vi assets vyangu nipate hata 20m hivi niende Marekani au UK huko. Sijui kwa nini lakini akili yangu ndo inanituma hivyo.
Hiyo akili ni Roho ya shetan inakuita. Ml 20 utafanyia nini mi nikafikir ukiuza utapata ml 500 aisee acha ujinga. Kwa kaz yako jiulize unajiona wapi baada ya miaka 10 ijayo ujipange acha utoto.
 
Usiikatae hiyo spirit ya kwenda US, you never know kama skills na uwezo unao wa kwenda nenda. Bongo system zetu bado sana
 
Yaani wewe una have fun weekend tu, haaaaahaa. Ndio maana bongo inakuboa.
Waliyoyapatia ku have fun ni kila siku
 
Back
Top Bottom