Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Habarini za humu wadau,
Mimi ni kijana wa 26 yrs, mkazi wa Dar es Salaam, nakaa Sinza. Nina kazi nzuri tu ambapo napata mshahara wa 2m+ basic salary. Sina mtoto wala sijaoa,nategemewa na famili yangu huko mkoani, pia ni kijana wa kwanza kwetu,wapo wadogo zangu kama wawili hivi.
Sawa ninapata pesa, nina kazi nzuri pia nina have fun weekends ila naoa life yangu hapa bongo kama bored hivi. Natamani nisave hata kwa mwaka na niuze vi assets vyangu nipate hata 20m hivi niende Marekani au UK huko. Sijui kwa nini lakini akili yangu ndo inanituma hivyo.
1. Kusanya pesa...
2. Tafuta chuo, ukipata scholarship au fellowiship programs itakuwa poa zaidi...
Hii ndio njia rahisi ya wewe kwenda hizo nchi umetaja.
3. Usioe kwa sasa kabla ya kutimiza hayo, maana kama ukifanikiwa na ukataka kuishi katika nchi umetaja, moja ya namna rahisi itayofanya uendelee kukaa huko ni kitafuta mchuchu raia na kumuoa...