Nimechoka kuitwa Mshangazi, Mungu nipe mume tafadhali

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Eh,
Nyie watoto acheni kumsumbua Mungu jamaan

Leo nimekaa kwenye lounge ya ofisi moja mjini, naskia wadada wawili wanaongea kwa kutiana moyo

Maongezi ya mmoja yalikuwa hivi,

"Nimechoka kuitwa Mshangazi, Mungu nipe mume please 🙏 "

Nilitaka kumjibu lakini user yangu ikawa imefika

Wewe ungekuwa Mungu, ungemsaidiaje Mshangazi aliechoka kuitwa Mshangazi?
 
Wewe una mume?
 
😏
1000014486.jpg
 
Sasa kama alikuwa anaringa kipindi wanaume wanamfuata Mungu hata hasikilizi maombi ya watu kama hao.
Mwambie hivi kuna dogo anaitwa Poor Brain anapenda sana loose balls.
 
Eh,
Nyie watoto acheni kumsumbua Mungu jamaan

Leo nimekaa kwenye lounge ya ofisi moja mjini, naskia wadada wawili wanaongea kwa kutiana moyo

Maongezi ya mmoja yalikuwa hivi,

"Nimechoka kuitwa Mshangazi, Mungu nipe mume please 🙏 "

Nilitaka kumjibu lakini user yangu ikawa imefika

Wewe ungekuwa Mungu, ungemsaidiaje Mshangazi aliechoka kuitwa Mshangazi?
Ninge mpa pole, maana enzi alikuwa anawaka, anachagua wanaume alikuwa hamkumbuki Mungu, akomae tu na hicho cheo cha Mshangazi
 
"Nimechoka kuitwa Mshangazi, Mungu nipe mume please 🙏 "

Nilitaka kumjibu lakini user yangu ikawa imefika

Wewe ungekuwa Mungu, ungemsaidiaje Mshangazi aliechoka kuitwa Mshangazi?
Ningekuwa Mungu ningemfunulia picha hii ya reaction jinsi alivyomkataa kwa nyodo mwanaume niliyemtuma awe mumewe akamkataa hapo jamaa akifarijiwa na watu wa nyumbani mwake
FB_IMG_1730627760223.jpg
 
Back
Top Bottom