Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #41
Sawa
Wewe huwezi kuolewa
wanawake miaka 18-27 wanaringa sana, ni wanawake ambao kwenye mahusiano huwa hawajali, kwasababu huwa wanajiona bado, na vikali vya "mimi ni kama daladala akishuka mtu anapanda mtu" wanakuwa chagua chagua sana, hata kanisani au misikitini nadra sana kuwakuta wakiwa serious, umri ukipita hapo ndio akili zinarejea, akifika 35 atataka mwanaume yeyote bila kuchagua dini, kabila, urefu au ufupi, elimu, hapo vigezo vinabak viwili awe anapumua na awe na shughuli yoyote ya kumpatia kipato. Zingatia neno yoyote
Bwana wangu ninaekubali kushea na wanawake wengine ni...
Kusema ukweli Bwana ninaekubali kushea na wanawake wengine ni YESU KRISTO Huyo ndio pekee nakubali tube wengi kwake Wewe je?