Nimechoka kuitwa Mshangazi, Mungu nipe mume tafadhali

Nimechoka kuitwa Mshangazi, Mungu nipe mume tafadhali

Ningempa pole na kusisitiza asipuuze chance zinazokuja
Upweke ni mbaya sana
Chance ni nyingi sana ila ni jobless....sasa kulea umaskini wangu na wa mwingine ni kibarua kigumu sana.Ni kheri upweke usio na stress
 
Eh,
Nyie watoto acheni kumsumbua Mungu jamaan

Leo nimekaa kwenye lounge ya ofisi moja mjini, naskia wadada wawili wanaongea kwa kutiana moyo

Maongezi ya mmoja yalikuwa hivi,

"Nimechoka kuitwa Mshangazi, Mungu nipe mume please 🙏 "

Nilitaka kumjibu lakini user yangu ikawa imefika

Wewe ungekuwa Mungu, ungemsaidiaje Mshangazi aliechoka kuitwa Mshangazi?
……nut
 
Upweke sio shida
Shida kuitwa MSHANGAZI
WOI
Basi hakuna tatizo hapo, at some point kila mtu ataitwa bibi,babu,mzee e.t.c Issue ni kuwa wakati hayo yanafika uwe na furaha na amani, na fedha za kujimudu basi.

Mshangazi ni jambo zuri tu kwa wanawake, inaonyesha kuwa madogo wanaona maturity kwao.
 
nakataliwaje kwamfano my Lady?

handsome akili kubwa, kiongozi na mtumishi wa wananchi anakataliwa kweli?

ni katika kuokoa jahazi tu, ama my Lady umefurahia hali hiyo ya huzuni na mfadhaiko ya hao ma ladies kulilia na kutamani magentleman wa kuwatuliza, na kwahivyo huhitaji mapendekezo yoyote ya wadau kushirikiana nawe mtoa hoja walau kuwasitiri na kuwaonyesha njia, right?🐒
 
i mean wakiwa mabinti wanauliza namba yangu umepata wapi wakizeeka wanaomba kutafutiwa mume yani mambo ni mengi
Wanaomba kutafutiwa mume sababu mnawazonga tonga mabinti wa watu na maswali ya utaolewa lini?
 
Back
Top Bottom