Nimechoka kuitwa Mshangazi, Mungu nipe mume tafadhali

Sasa kama alikuwa anaringa kipindi wanaume wanamfuata Mungu hata hasikilizi maombi ya watu kama hao.
Mwambie hivi kuna dogo anaitwa Poor Brain anapenda sana loose balls.
ID yako nyingine hii hapa
 
Basi akatae kuitwa shangazi tatizo litaisha
Ninge mpa pole, maana enzi alikuwa anawaka, anachagua wanaume alikuwa hamkumbuki Mungu, akomae tu na hicho cheo cha Mshangazi
Ningekuwa Mungu ningemfunulia picha hii ya reaction jinsi alivyomkataa kwa nyodo mwanaume niliyemtuma awe mumewe akamkataa hapo jamaa akifarijiwa na watu wa nyumbani kwake View attachment 3143614
 
We umejuaje alikuwa anakataa watu jamaa?
Umejuaje kama alikuea haombi Mungu?
Anaonekana ni mwombaji, asingetaja Mungu though
wanawake miaka 18-27 wanaringa sana, ni wanawake ambao kwenye mahusiano huwa hawajali, kwasababu huwa wanajiona bado, na vikali vya "mimi ni kama daladala akishuka mtu anapanda mtu" wanakuwa chagua chagua sana, hata kanisani au misikitini nadra sana kuwakuta wakiwa serious, umri ukipita hapo ndio akili zinarejea, akifika 35 atataka mwanaume yeyote bila kuchagua dini, kabila, urefu au ufupi, elimu, hapo vigezo vinabak viwili awe anapumua na awe na shughuli yoyote ya kumpatia kipato. Zingatia neno yoyote
 
Eh,
Nyie watoto acheni kumsumbua Mungu jamaan

Leo nimekaa kwenye lounge ya ofisi moja mjini, naskia wadada wawili wanaongea kwa kutiana moyo

Maongezi ya mmoja yalikuwa hivi,

"Nimechoka kuitwa Mshangazi, Mungu nipe mume please 🙏 "

Nilitaka kumjibu lakini user yangu ikawa imefika

Wewe ungekuwa Mungu, ungemsaidiaje Mshangazi aliechoka kuitwa Mshangazi?
Ñjoo pm mara moja plz,
usidhani uko pekeyako, ni wengi mno wanateseka na hiyo songombingo,

unakuta binti anasalimiwa na kijana wa kiume, eti anamfyonza kanakwamba yeye ni mtakatifu sana kumbe hana mpango wowote, mbaya zaid akifika home anaanza kujuta kwanini hakuchukua namba za simu za kijana aliemfyonza kwa dharau, kisha matokeo yake binti anajichukulia sheria mkononi kwa maji moto au toy, dah wanatia huruma sana kama hao ulowaskia..

hebu fanya ñjoo pm tusaidiane plz my Lady 🐒
 
Mwenyezi mungu hana mda na mishangazi 🥴🥴
 
wanawake miaka 18-27 wanaringa sana, ni wanawake ambao kwenye mahusiano huwa hawajali, kwasababu huwa wanajiona bado, na vikali vya "mimi ni kama daladala akishuka mtu anapanda mtu" wanakuwa chagua chagua sana, hata kanisani au misikitini nadra sana kuwakuta wakiwa serious, umri ukipita hapo ndio akili zinarejea, akifika 35 atataka mwanaume yeyote bila kuchagua dini, kabila, urefu au ufupi, elimu, hapo vigezo vinabak viwili awe anapumua na awe na shughuli yoyote ya kumpatia kipato. Zingatia neno yoyote
Ndefu sana
Acha wachaguo ndio muda wao
 
Ningekua Mungu ningemjibu kwa maandiko, Ulimwenguni mnayo dhiki lakini jipeni Moyo
Sarai mkewe Ibrahimu alipata mtoto akiwa bibi kizee 😂
 
Ñjoo pm mara moja plz,
usidhani uko pekeyako, ni wengi mno wanateseka na hiyo songombingo,

unakuta binti anasalimiwa na kijana wa kiume, eti anamfyonza kanakwamba yeye ni mtakatifu sana kumbe hana mpango wowote, mbaya zaid akifika home anaanza kujuta kwanini hakuchukua namba za simu za kijana aliemfyonza kwa dharau, kisha matokeo yake binti anajichukulia sheria mkononi kwa maji moto au toy, dah wanatia huruma sana kama hao ulowaskia..

hebu fanya ñjoo pm tusaidiane plz my Lady 🐒
Bro pole
Naona ulikataliwa ulipopenda
 
Back
Top Bottom