Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Upweke sio shidaNingempa pole na kusisitiza asipuuze chance zinazokuja
Upweke ni mbaya sana
Wewe una mume?Eh,
Nyie watoto acheni kumsumbua Mungu jamaan
Leo nimekaa kwenye lounge ya ofisi moja mjini, naskia wadada wawili wanaongea kwa kutiana moyo
Maongezi ya mmoja yalikuwa hivi,
"Nimechoka kuitwa Mshangazi, Mungu nipe mume please π "
Nilitaka kumjibu lakini user yangu ikawa imefika
Wewe ungekuwa Mungu, ungemsaidiaje Mshangazi aliechoka kuitwa Mshangazi?
Sasa kama alikuwa anaringa kipindi wanaume wanamfuata Mungu hata hasikilizi maombi ya watu kama hao.Eh,
Nyie watoto acheni kumsumbua Mungu jamaan
Leo nimekaa kwenye lounge ya ofisi moja mjini, naskia wadada wawili wanaongea kwa kutiana moyo
Maongezi ya mmoja yalikuwa hivi,
"Nimechoka kuitwa Mshangazi, Mungu nipe mume please π "
Nilitaka kumjibu lakini user yangu ikawa imefika
Wewe ungekuwa Mungu, ungemsaidiaje Mshangazi aliechoka kuitwa Mshangazi?
Basi akatae kuitwa shangazi tatizo litaishaUpweke sio shida
Shida kuitwa MSHANGAZI
WO
Ninge mpa pole, maana enzi alikuwa anawaka, anachagua wanaume alikuwa hamkumbuki Mungu, akomae tu na hicho cheo cha MshangaziEh,
Nyie watoto acheni kumsumbua Mungu jamaan
Leo nimekaa kwenye lounge ya ofisi moja mjini, naskia wadada wawili wanaongea kwa kutiana moyo
Maongezi ya mmoja yalikuwa hivi,
"Nimechoka kuitwa Mshangazi, Mungu nipe mume please π "
Nilitaka kumjibu lakini user yangu ikawa imefika
Wewe ungekuwa Mungu, ungemsaidiaje Mshangazi aliechoka kuitwa Mshangazi?
Ningekuwa Mungu ningemfunulia picha hii ya reaction jinsi alivyomkataa kwa nyodo mwanaume niliyemtuma awe mumewe akamkataa hapo jamaa akifarijiwa na watu wa nyumbani mwake"Nimechoka kuitwa Mshangazi, Mungu nipe mume please π "
Nilitaka kumjibu lakini user yangu ikawa imefika
Wewe ungekuwa Mungu, ungemsaidiaje Mshangazi aliechoka kuitwa Mshangazi?
NdioWewe una mume?
Njoo inboxNaomba mawasiliano yake
Jamaani My twin
Uchelewi kusema ni wewe unamtakaSasa kama alikuwa anaringa kipindi wanaume wanamfuata Mungu hata hasikilizi maombi ya watu kama hao.
Mwambie hivi kuna dogo anaitwa Poor Brain anapenda sana loose balls.
Toa ushauri kwa shangazi mwenzilID yako nyingine hii hapa
Wahuni hawaachi kuita mpaka aoleweBasi akatae kuitwa shangazi tatizo litaisha
We umejuaje alikuwa anakataa watu jamaa?Ninge mpa pole, maana enzi alikuwa anawaka, anachagua wanaume alikuwa hamkumbuki Mungu, akomae tu na hicho cheo cha Mshangazi
Mbona aliekataliwa ana kitambi jamaanNingekuwa Mungu ningemfunulia picha hii ya reaction jinsi alivyomkataa kwa nyodo mwanaume niliyemtuma awe mumewe akamkataa hapo jamaa akifarijiwa na watu wa nyumbani kwake View attachment 3143614