Nimechoka kuitwa Mshangazi, Mungu nipe mume tafadhali

Kama majanga mengine yaliyowahi kuikumba nchi hii kama surua, ndui, kipindupindu na corona... Mashangazi ni janga jingine liloikumba nchi hii kwa lugha ya majanga wanaitwa Single Mother.
Njmecheka
 
Wanawake wakiwa kwenye 20s mwanzoni wanakuwa na nyodo za kikuda sana na matokeo yake ni majuto. Mwanaume anaweza oa akiwa na miaka 50 na kuanzisha familia fresh kabisa ila mwanamke akishavuka 30 years huwa ni majuto matupu. Mabinti wadogo muwe makini.
 
Umenikumbusha dada mmoja nilimsumbukia 2010 akanichomolea akaja kupewa mimba na njemba moja ikamchomolea kipindi kile najitafuta.. leo hii ni mshangazi ananishobokea amesahau alivyonitenda .. malipo ni hapa hapa duniani.
 
Ndio wakati wao wa kujidai bro waache
 
Umenikumbusha dada mmoja nilimsumbukia 2010 akanichomolea akaja kupewa mimba na njemba moja ikamchomolea kipindi kile najitafuta.. leo hii ni mshangazi ananishobokea amesahau alivyonitenda .. malipo ni hapa hapa duniani.
 
ni muhimu zaid kuwasaidia hao mabinti ulowaskia wakinung"unika kwa kuchoka kuitwa mishangazi, ili kuepuka vijana wawatu wasitapeliwe na hiyo kitu ya kuitwa honeymoon ambayo si muhimu sana nyakati hizi.

mabinti wengi hudai hawana nafasi kukutana na vijana wenzao wa kiume kwa kujiweka classic, makeup zikianza kugoma kwasabb za umri umesonga ndiyo sasa wanaanza kutia huruma na kukimbulia mafuta ya alizeti yanayoitwa ya upako ili wapate wa kuwaoa 🐒
 
Back
Top Bottom