Nimechoka kupigwa Exile, maisha ya hostel yamenishinda

Daaaa......!!! Umenikumbusha mbali sana chuo fulani Dodoma. Nilikuwa napigwa exile balaa. Adi ikabidi nipange chumba mitaani
 
Exile ni km msitu mambwepande weng hupgwa sana wakipelekwa huko.
 
ni utoto tu unamsumbua akikua ataacha
Mapenzi unayonipa


Yan mpaka najiuliza

Hivi unaigiza aaa a

Maana mi nakufa kabisa aa aa aa

Napenda nikushika we

Napenda nikikushika aa

Napenda nikikukiss mdomoni

Ur my baby gal


Uzuri uzuri wako.

Uzuri uzuri wako wewe

[emoji445] [emoji445] [emoji442] [emoji443] [emoji443] [emoji442] [emoji442] [emoji443]
 
Unapga msul chuo mpaka saa sita ya uck then unarud mabibo.. HAPO UMETUFUNGA KAMBA MKUU
 
Mwambie met wako awe anakulipa jero yako kwa kila exile anavofanya sio poa kabisa. Me nilikuwa si entertain usport sport wa aina hyo enzi zangu
 
Mkuu tatizo kila siku ni mimi tu napigwa exilé
Jipange sasa exile huwa inatakiwa iwe win win situation ndy mtaheshiana bila hivyo utagombana sana na mate,
Chuoni kukwepa exile Uwe unaishi peke yako au kwenu kinyume na hapo lazima ukumbane nayo sijui kwa girls ila boys exile is constant.
 
Unapga msul chuo mpaka saa sita ya uck then unarud mabibo.. HAPO UMETUFUNGA KAMBA MKUU
Unapiga shuttle pori kutoka Coet hadi chuo cha maji mpaka barabarani(Sam Nujoma road)-hapo unatembea hadi ubungo mataa parking za Tanesco hapo kwenye mitambo ya symbion.Hapo kijana kuna daladala 24/7 za kwenda buguruni then huyo hadi Hostel.
Ndugu yangu usione tumepata vigamba vyetu tumehustle Kinoma😛😛
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…