Nimechoka kupigwa Exile, maisha ya hostel yamenishinda

Nimechoka kupigwa Exile, maisha ya hostel yamenishinda

Haya maisha ya kukaa hostel yamenishinda kwa kweli ,haiwezekani haipiti siku tatu bila kupigwa exile
Kila siku mimi nimekuwa mtu wa kulala nje na kuliwa na mbu tu nimechoka kwa kweli enough is enough

Sijui lini na mimi nitamfanyia exile aaaargh nimechukia sana
Kumbe hadi wanawake mnafanyiana hivi? pole sana kwanini usimshauri rafiki yako amwambie mwanaume wake wawe wana kwenda guest...?
 
dah kati ya jamaaambae simuelew humu jamii forom ni huyu yaan sijui kwamba anasoma sijui hasomi yaan ilimradi a post..sasa angalia avatar yake.
Avatar yangu imefanyaje mkuu?

Kwan ni vibaya kumpost demu wako?

Hii ni avatar ya demu wangu shunie sasa wewe unaumia nini?
 
Back
Top Bottom