Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Exile huwa haziepukiki kwenye maisha ya shule.
Nakumbuka nikiwa Mabibo Hostel nilipigwa sana Exile na wadau though ndio ilinifanya niwe napiga sana Msuli Chuo mpaka saa 6 usiku hivi ndio narudi hostel,yaani ilikuwa unatumiwa kabisa sms kuwa leo kuna tukio kiongozi😀😀😀