Nimechoka kupokea wageni

Nimechoka kupokea wageni

Nilivo mlafi wa ngono sidhani kama naweza vumilia mtu baki kuweka kambi kwangu muda mrefu. Yaani nimetoka nakojua nataka nikuinamishe kwenye stendi ya Tv halafu pembeni yupo mjomba wako! Dah namrudisha kwao kesho yake
 
Mkuu kuwa mwanamme hasa, baba yangu yaani Mme wa mama mkubwa alikuwa afisa usalama mwenye maisha mazuri tu,hivyo ukoo wa upande wa mama ulimtegemea sana,actually kila aliyejitambua baada ya barehe alikimbilia kwake,nakuambia ni wachache waliokaa kwake zaidi ya miezi miwili,alikuwa na mashamba yaliyokuwa umbali wa km 15, then mnaenda kwa mguu ,mkifika chakula cha mchana ni huko huko Hadi jioni ,ukifika home mwili hauna ushirikiano,wengi walikimbia,Hadi anafariki nyumbani kwake alikuwa akiishi yeye na mke wake na mjukuu wake mmoja tu.


Mzee huyu hakuwa na haya hata kidogo,uwe mkubwa au mdogo lazima ufuate taratibu za familia yake,hakika Mimi nilipenda mfumo huu,yeye hakufukuzi ila kazi ndo zitakufanya uchomoe mwenyewe.Leo hii Mimi Nina familia na kazi kupitia huyu bwana kutokana na kuvumilia,na huyu mzee ni mfano mazuri kwangu katika kusimamia familia yangu.


Tambua kuwa ndugu zetu Wengi ni wazembe,hivyo wakisimuliana tu kuwa kwa X ni kunywa na kulala hakika kwako hawakauki,mbaya zaidi wanakuja kwa nauli zao na kurudi kwa nauli zako.

Wape kazi ngumu ilimradi wafidie wanachokula,ikiwezekana kashike vibarua kwenye mashamba harafu uwapeleke wakalime,my friend utanishikuru baadae
 
Thanks JF, maana kabla ya mitandao jamii iliaminisha ni wanawake hawapendi ndugu za mume, hawapendi watoto wa mume, hawapendi hiki na like vya mume, watu wanatoa personal experience sasa, hawasingiziwi.
 
Thanks JF, maana kabla ya mitandao jamii iliaminisha ni wanawake hawapendi ndugu za mume, hawapendi watoto wa mume, hawapendi hiki na like vya mume, watu wanatoa personal experience sasa, hawasingiziwi.
Ndugu wa mke ni wazito hawabebeki
 
Ahahhaha
Hakikisha hapo kwako kuna kazi za kutosha kama kuosha mabanda ya mifugo,kukata nyasi za mifugo,tafuta mashamba huko nje ya mji uwe unawapeleka kulima na kupanda

Okoka na muwe mnasali karibia masaa mawili kabla ya kwenda kulala iwe kila siku na lazima kila mtu awepo wakati wa kusali hata kama ni mgonjwa,tv weka chumban kwako,sebuleni liwepo sabufa la kupiga nyimbo za injili tu

Ukishindwa kabisa hayo yote,anza kuwala ndugu za mkeo kwa siri,ili ufaidi chakula chako

Fanya yote hayo afu unipe mrejesho
ihii kiboko
 
Anayenufaika na ndoa huwa ni mwanamke , ndugu zake wataendelea kujazana hapo , ila ndugu yako ww akija hapo akae wiki tuu au mwez , akirudi atasimulia , wanawake karbia wote wana roho mbaya mno kwa ndugu za mme, na hii wapo hvyo
Ujakosea mkuu
 
Hii kali kwakweli.. Pole mno! Wanaokubeza acha tu wakubeze hayajawakuta
Kabisa kaka yaani kuna muda unatamani utembe na boksa humo ndani na mkeo chupi ila inashindikana wageni kama uwanja wa taifa
 
Mwandiko umekaa kama upo kwa Shemeji, isije kuwa ni wewe ndio unagombania ukoko na watoto wa dada yako.
Ahahahhahah et kwa shemeji ahahahah ila kwa shemeji kutamu sana
 
Back
Top Bottom