Karibu kwanye Mining IndustryUnatumia njia gani kupima natural au artificial ??je unatumia wataalamu
Binafsi nakushauri mkuu jitahidi kufanya kazi na wataalamu na kuna kamashine kanauzwa milioni 10 nako hutumika kudetect madini aina mbali mbali.Tembea depertment za UDSM na UDOM utawapa wataalamu wa kutosha au nenda GST.
Chunya kuna reserve kubwa sana ya dhahabu so jitahid ufanye kisasa boss
Binafsi nasomea mineral exploration and mining geology.Namaliza mwakani
Sio kweli mkuuMigodini na ziwani bila ndagu,kafara hutoboi
Vidono muhimu si umeona umefika Ujiji kitu kimejipa umepanda cheo. Fanya haraka unioe kipenzi tuwe tunawanga pamojaWewe unayejua vidono vya KG?
Ila na mie nimetoka Ujiji nilikuwa sipandi vyeo nimepanda mserereko!! Ngoma droo, usijali kipenzi! Mume umepata
Vidono muhimu si umeona umefika Ujiji kitu kimejipa umepanda cheo. Fanya haraka unioe kipenzi tuwe tunawanga pamoja
Kwa hiyo imeshindikana kabisa kunipa koneksheniVidono muhimu si umeona umefika Ujiji kitu kimejipa umepanda cheo. Fanya haraka unioe kipenzi tuwe tunawanga pamoja
Ipi sasa ya mganga?Kwa hiyo imeshindikana kabisa kunipa koneksheni
HahahaNaoa mke wa tatu mkaldayo, sasa majukumu yananiweka busy kidogo.
Hatuonani!😊😊😊
Nipo hapa hapa JF nitoke niende wapi?
Dumee😁?RED flag, we Jamaa ni Dume Ila umevaa uhusika wa kike why?
Anajifanya Dume Dada tumeshtuka, hakuna Mwanamke anaongea lugha HIO "we vipi buda" hii code ni ya kiumeDumee😁?
Kwa hiyo ni dume?eti Sport ladyy ya kweli haya?Anajifanya Dume Dada tumeshtuka
Aje nimuoe hajakosea kabisaa.Kwa hiyo ni dume?eti Sport ladyy ya kweli haya?
Usiteseke sana milango iko wazi inakusubiri mrembo, hutaki kuchumbiwa weye?Anajifanya Dume Dada tumeshtuka, hakuna Mwanamke anaongea lugha HIO "we vipi buda" hii code ni ya kiume
Pole njoo ingia kwenye uchuuuzi wa bidhaa china/turkeyHapana mkuu, nikiwa nimejilaza chini ya mti, pembeni ya mto
Unataka kusema nini? Sema nikusikie au Piga 0786 754 897 nikusikilizeUsiteseke sana milango iko wazi inakusubiri mrembo, hutaki kuchumbiwa weye?
Hii namba yako? Nakupigia ss hivi sawa? 😂Unataka kusema nini? Sema nikusikie au Piga 0786 754 897 nikusikilize
Usiweke hitimisho kwa jambo ambalo haulijui utafeli sana....sipo hapa kupigia debe uganga ila mwanzo sijakomaa akili kama ulivyo wewe nilikuwa ninamawazo kama yako ila kuna kesi ilinikuta ndipo ilibadili akili zanguWaganga wangekuwa na uwezo wa kuwafanikishia mafanikio huko migoni nafikiri hata wao wangeongoza kwa kuchimba madini na Kuwa mabilionea, eti unataka umfuate mganga umlipe laki mbili au tatu alafu yeye akufanikishie kupata dhahabu ya Milioni 200 kweli?
Hivi mnafikiri vizuri kweli
PIGA sasa hivi tuyajenge, kumbe ulitaka NambaHii namba yako? Nakupigia ss hivi sawa? 😂