Nimechoka kusindikiza wenzangu kwenye madini

Mkuu uchimbaji mkubwa una gharama sana, unahitaji kuwa na fedha nyingi pia
Mkuu ungekuwa kota ungeshatoboa kwa mtaji wa milioni 40, unawagalagaja kwa elfu 80-90 per gram maana dhahabu ya chunya haina asilimia kubwa sana, kisha unaenda kuuza soko kubwa profit 20-40k per gram, ila napo kuna kupigwa kuchanganyiwa na gololi za baiskeli na makelele mengine mengi.
 
NGEKEWA haiko hivo, Hiyo unayosema we ni chuma ulete. Unakuwa na kanyoka kako kadogo kanazurura kukuvutia pesa hata mpita njia akipita anakuchangia pesa.
 
Naona kama vile unataka kuingia kwenye mfumo
 
Na ww unakubali vipi wakufanye punching bag bhana 😅
Twenzetu KG tukapigwe kidono kwanza
Si ndio sasa tugawiane hizi neema za kuifikia njia panda ya mafanikio, miaka yote unafanya kazi uko vilevile tu wanakuja watoto kutoka upareni huko wamejikoki sawasawa unawafundisha kazi, miaka miwili tu wamekupiga gepu parefu mno.......nipe maelekezo aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…