muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Achana nae, huko utaambiwa umtoe kafala mwanao.[emoji26][emoji26][emoji26]
Nipe mwongozo tunaanzia wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana nae, huko utaambiwa umtoe kafala mwanao.[emoji26][emoji26][emoji26]
Nipe mwongozo tunaanzia wapi?
JamaniTafuta mwingine,wenzyo wakinga wanasema tukatoe haka kamoja kalee wenzye😁🤣😂😂
Mkuu ungekuwa kota ungeshatoboa kwa mtaji wa milioni 40, unawagalagaja kwa elfu 80-90 per gram maana dhahabu ya chunya haina asilimia kubwa sana, kisha unaenda kuuza soko kubwa profit 20-40k per gram, ila napo kuna kupigwa kuchanganyiwa na gololi za baiskeli na makelele mengine mengi.Mkuu uchimbaji mkubwa una gharama sana, unahitaji kuwa na fedha nyingi pia
Weka wako mzuri tuone km unafaa mkuuHii hapana sio ushauri mzuri
Huku unazidi kupotelea maporini, haya nenda ukishapoa urudi tukupe ushauri.Nimeamua kuwa moto sasa nnafanyaje?
Mimi sitishi mtu nasema hali halisiDuu unatutisha sasa
Nimekushauri ninachojua mengine utajazia mwenyeweKuna uwezekano mkubwa ukawa ni mdogo wangu,
Risk ya biashara ya kununua na kuuza dhahabu nnaijua vizuri sana,
Ila nimechagua hii na mimi nnataka kujua zaidi, nnamini ntafanikiwa iwe kwa jua au mvua
Atakua nayoKwanzA pesa bado anayo?
Na ww unakubali vipi wakufanye punching bag bhana 😅Lete mchongo hapa au twende huko PM niko serious, nimechoka mwili wangu kuwa wa majribio maana kila mmoja anatestia ndumba zake kwangu
NGEKEWA haiko hivo, Hiyo unayosema we ni chuma ulete. Unakuwa na kanyoka kako kadogo kanazurura kukuvutia pesa hata mpita njia akipita anakuchangia pesa.Nilivyosikia mimi ukianza kutoa, itabidi uwe unatoa,
Kuna pahala nilisikia kuwa kuna hiyo dawa moja inaitwa NGEKEWA hii kila utakachogusa ni hela tu ila sasa kila mwaka inakula mtu mmoja, inachagua yenyewe wewe utashangaa mtu kadondoka mara mzazi, rafiki, ndugu, mfanyakazi
Naona kama vile unataka kuingia kwenye mfumoNilivyosikia mimi ukianza kutoa, itabidi uwe unatoa,
Kuna pahala nilisikia kuwa kuna hiyo dawa moja inaitwa NGEKEWA hii kila utakachogusa ni hela tu ila sasa kila mwaka inakula mtu mmoja, inachagua yenyewe wewe utashangaa mtu kadondoka mara mzazi, rafiki, ndugu, mfanyakazi
Si ndio sasa tugawiane hizi neema za kuifikia njia panda ya mafanikio, miaka yote unafanya kazi uko vilevile tu wanakuja watoto kutoka upareni huko wamejikoki sawasawa unawafundisha kazi, miaka miwili tu wamekupiga gepu parefu mno.......nipe maelekezo aiseeNa ww unakubali vipi wakufanye punching bag bhana 😅
Twenzetu KG tukapigwe kidono kwanza