Nimechoka kusindikiza wenzangu kwenye madini

Nimechoka kusindikiza wenzangu kwenye madini

Naomba uchukue ushauri huu Mkuu ambao na Baadhi wamekushauri hapo juu....

Sekta ya uchimbaji wa madini ni 'illusion' imezungukwa na kiini macho na ushirikina Mkubwa Sana Tena Sana.. ninapokwambia hivi ni experience from the field sio kuandika tu hapa JF.

Kama huamini kwenye kupata madini kwa ushirikina I can assure you wewe sio mchimbaji. Bila mganga Tena mganga mzuri hutoboi utafirisika na kua chizi. It's either ubadili kazi au ufate ushauri.

Hao ambao Mdau mmoja amezungumza hapo juu kwamba wazungu wanatumia teknolojia sijui Nini Nini, nakuhakikishia wao ni washirikina namba moja. Kumbuka tumeijua Freemason kupitia Sheikh Yahaya na hakuonesha imeanzia Tanzania , Bali imeanzia ulaya. So connect dots.

Wachina, Wahindi wote Wana tamaduni zao ambazo zinaashiria shiriki. Sema kwa huku kwetu inaonekana Uchawi. Kila duka la muhindi ametundika majani mlangoni lla wabongo tunasifia tu MO tajiri hujui Nini nyuma ya pazia ibada zao ni zipi.

So huo ndio ushauri wangu.. Ila Kumbuka...

GOD IS EVERYTHING
GOD IS ABLE
GOD IS ABOVE ALL
BELIEVE IN GOD
Nnakubaliana na wewe mkuu, niko tayari ila sio kutoa mtu
 
Ndio shida yenu wachimbaji wadogo....ujuaji mwingi hivi unadhani Migodi mikubwa kama GGM,Barrick kuwa na maexpert wa kutosha na advanced tools ni wajinga....wewe kama unachimba loko na unapata faida basi jua unajichelewesha sana mkuu....acha kudharau taaluma za watu.
Mtu anaongelea makarasha wewe unakuja na mambo za vipimo..huyo anapima sample tu za mawe sasa hicho kifaa yeye cha nn maabara mbona kibao?? Ushauri wa kumpa huyo sio huo.
 
Wanajamvi

Leo nimekuja, mwenzenu yamenifika shingoni

Nina miaka mitatu tangu nimeingi kwenye uchimbaji wa madini huku chunya mbeya,

Nimamiliki karasha, nimeshapoteza zaidi ya milioni 40 katika shughuli hii.

Huwa nnajitahidi kupima miamba kila hatua kama inavyoshauriwa lkn matokeo mara zote huwa kinyume na matarajio,

Mfano unaweza kupima mwamba ukaambiwa ni wastani wa ppm 8 lkn unachokuja kukipata ni wastani wa ppm 1

Wadau wengi hawataki kutoa siri ya wapi wanapitia ili kuhakikisha kile wanachotakiwa kukipata wanakipata,

Tafadhali sana, mwenye kujua namna nnaweza kupata msaada wa kweli tafadhali msaada hapo PM


Achana na hiyo biashara ya kuuza nafsi.
 
Hamna kwani alivyokufa Yesu kuna sehemu Mungu alimtoa tena mtoto wake? Ww fanya nilivyokwambia km kweli unataka mgodi uteme
Nilivyosikia mimi ukianza kutoa, itabidi uwe unatoa,

Kuna pahala nilisikia kuwa kuna hiyo dawa moja inaitwa NGEKEWA hii kila utakachogusa ni hela tu ila sasa kila mwaka inakula mtu mmoja, inachagua yenyewe wewe utashangaa mtu kadondoka mara mzazi, rafiki, ndugu, mfanyakazi
 
Nilivyosikia mimi ukianza kutoa, itabidi uwe unatoa,

Kuna pahala nilisikia kuwa kuna hiyo dawa moja inaitwa NGEKEWA hii kila utakachogusa ni hela tu ila sasa kila mwaka inakula mtu mmoja, inachagua yenyewe wewe utashangaa mtu kadondoka mara mzazi, rafiki, ndugu, mfanyakazi
Gharama ya utajiri
 
Back
Top Bottom