Nimechoka na Mahusiano Yangu. Naomba ushauri

Hustahili ushauri bali makofi ya kelbu mpaka akili yako izibuke.

Mnasisitizwa kila mara msiwe na mahusiano na single Maza hamuelewi na hamsikii.

Tena huyo mwanamke akukomeshe kisawasawa.
 
Ukichoka pumzika, simple!!
 
Tafuta hela jenga maisha alafu subiria miaka 10 mbele uje umuoe huyo mtoto wake wa kike..

Umri wa mtoto wake 8 + 10 = 18

Umri wako 26+10= 35 muda sahihi kabisa wa kuanza kuishi na mwanamke
 
Acha kunywa pombe,

Umeowa single Maza 😄Elimu jF haijakusiadia ....Mapenzi ni maisha zaidi ya kitandani nikimaanisha kushauriana,kujaliana,kuheshimiana na kuthaminiana ukiona mambo yanaenda ndivyo sivyo kwako muachane tu
 
kule kwetu hali hiyo inatwa kuangukiwa na nyumba.

dah, pole sana kwa kuangukiwa na nyumba gentleman.

hata hivyo,
hizo ni nyakati na vipindi vya muda tu, yataisha gentleman. Ni muhimu kua mstahimilivu na mwenye sibra, kwani bado kitambo kidogo tu mambo yatabadilika na kuknyooka vyema.

Ikiwezekana,
chukua likizo hata ya one month mkoani, au mtume yeye mkeo aende likizo kwa muda kidogo, nadhani hali hiyo inaweza kurekebishika kwa haraka zaidi 🐒
 
Yani sina amani roho inauma mwili umechoka kabisa nahisi Hadi kuumwa kwa dharau hizi
 
Niliuzaga gari yangu nikampa Hela yeye afanyia biashara ila daaah
Mkuu haukuchunguza kichwa chake vizuri , binafsi mwanamke asie weza kuzalisha mali huwa kwangu hana nafasi kabisa aisee 🤔
 
Imagine mwamba anajiita baharia halafu kajichanganya kwa mshangazi at the same time mshangazi anamkaanga mpaka milio huku jei efu, alooooh 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…