Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katoto hakujui kuwa wewe baba mwenye nyumba.Nini umefurahi boss
Kanuni:
1. Jipende sana wewe mwenyewe.
2. Mpende Jirani yako kama unavyoipenda nafsi yako.
3. Kanuni ya 2 haitekelezeki kabla ya kanuni ya 1.
Ubinadamu ni kazi/The humanity umenenwvyema sana mkuu
Ukichoka pumzika, simple!!Habari wakuu,
Mimi ni kijana mdogo mwenye umri wa miaka 25. Nilikuwa kwenye mahusiano na mwanamke ambaye ananizidi umri kwa miaka 7. Yeye ana mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 8 kutoka kwenye mahusiano ya awali. Katika mahusiano yetu, mwanamke huyu alipata mimba ya watoto mapacha.
Kila siku namuachia shilingi 20,000 kwa matumizi, na mara chache sana ambapo nimekosa, namuachia shilingi 15,000. Kwa mwezi, inaweza kuwa mara 5 hadi 6 ambapo namuachia shilingi 15,000. Ikitokea siku sijatoa hela, lazima kesho yake nimuachie shilingi 25,000 hadi 30,000 ili kufidia siku iliyopita.
Huyu mwanamke ananipa lawama nyingi sana na anaona hela ninayomuachia haitoshi. Maneno yake mabaya yamenichosha kabisa, nimefika kiwango Cha mwisho cha uvumilivu kwa ajili ya mdomo wake. Anataka nimskilize na nimfuate kila anachosema, lakini mimi sijaumbwa hivyo kumskiliza mwanamke anachotaka ndo nikifanye. Anaona kama ananikomoa kwenye matumizi.
Pia Mimi ni mnywaji wa pombe na naweza kutumia zaidi ya shilingi 50,000 nikiwa na marafiki zangu basi huyu mwanamke hapendi marafiki zangu na hata akikuta nimekaa nao, hawasalmii, wakimsalmia haitikii, Yani amenichosha. Nimemchoka mwili hadi akili, sina raha kabisa. Hata haka katoto chake ni kajeuri balaa na kalikuwa hakaniamkii kakawa kanipigwa na mama ake sasahivi ndo kananiakia shkamoo mjomba kakaniona kananua Yani Kila mtu ananichosha kwakweli Yani nachoka ntakufa sasa, WAKUU NIMECHOKA MWILI HADI AKILI.
Naombeni ushauri wenu wakuu nifanyaje maana akili yangu inachoka kabisa. Nimechoka mwili na akili, sina raha.
Asanteni.
Tafuta hela jenga maisha alafu subiria miaka 10 mbele uje umuoe huyo mtoto wake wa kike..Habari wakuu,

Acha kunywa pombe,Habari wakuu,

kule kwetu hali hiyo inatwa kuangukiwa na nyumba.Habari wakuu,

Yani sina amani roho inauma mwili umechoka kabisa nahisi Hadi kuumwa kwa dharau hizikule kwetu hali hiyo inatwa kuangukiwa na nyumba.
dah, pole sana kwa kuangukiwa na nyumba gentleman.
hata hivyo,
hizo ni nyakati na vipindi vya muda tu, yataisha gentleman. Ni muhimu kua mstahimilivu na mwenye sibra, kwani bado kitambo kidogo tu mambo yatabadilika na kuknyooka vyema.
Ikiwezekana,
chukua likizo hata ya one month mkoani, au mtume yeye mkeo aende likizo kwa muda kidogo, nadhani hali hiyo inaweza kurekebishika kwa haraka zaidi [emoji205]
Mkuu haukuchunguza kichwa chake vizuri , binafsi mwanamke asie weza kuzalisha mali huwa kwangu hana nafasi kabisa aisee 🤔Niliuzaga gari yangu nikampa Hela yeye afanyia biashara ila daaah
Komaa tuuYan basi tuh sijui nimapenz