Nimechoka na matusi ya huyu kaka yangu mwenyewe Miaka zaidi ya 40

kadogo2

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
3,278
Reaction score
5,212
Jamani mpk naandika huu uzi hatujalala tunakesha kila siku

Kimsingi huyu ni kaka yangu mkubwa kabisaa wa mwaka 84 tumeshare mama.. Yeye ni mkandarasi.sijajua tatizo ni bangi ama amerogwa.. maana bangi ni chakula kwake na mapombe

Huyu ndugu yangu atakuja kumuua mama yangu na presha kama sio kumchoma kisu.. tumeshaongea nae sana mpk polisi kupelekana lakini Hakuna alichobadilika

Yupo nyumbani tangu mwaka 2023 na hataki kuondoka tena.. alirudi home akiwa hoi kwa kupigwa huko nnje kwa ujeuri wake,, sura imejaa alama za kutosha

Wakuu majirani wapangaji wetu hawana amani, amekuwa akiwatishia kuwakata mapanga na kuwatukana matusi ya nguoni.. anafanya fujo mtaani anatukana kila mtu. Anaweza kuvuta bangi hata ndani na Hakuna wa kumfanya kitu

Kinachoniuma zaidii anamtukana sana mama yaani matusi kabisaa ya nguoni tena akiwa nnje mpk majirani wanasikia
Hii hali namuona kabisaa mama anaumia
Mama yetu mwenyewe umri umeenda yuko na 62

Sasa nauliza tu kama nitaenda kumfungulia mashtaka polisi awekwe hata jera nitakuwa nafanya vibaya???
Huyu mtu anatembea na mapanga barabarani naogopa kuna siku anaweza kutuchinja

Na Kama Kuna mtu ameshawahi kukumbana na janga Kama hili kwenye familia au majirani walitumia njia gani kupambana na mtu kama huyu
 
Mpelekeni hospitali huyo kashukuwa kichaa. Afungwe kamba aende hospitali. Mkiendelea kumfikiri kuwa ni tabia awaua.
 
Ninachoweza kusema huyo ni mtoto wa mama na huenda mpaka anafika hapo mama amechangia.

Ukifuatilia watoto wa kiume wengi wasumbufu ni wale mama's boys. Na pindi baba alipokuwa anachukua hatua dhidi yake ili kuweka sawa anapokosea mama alimkumbatia. Na kama sivyo alilelewa bila baba.

Ukimfungulia mashtaka atakayeumia ni mama yako. Akitupwa rumande kwa onyo mama ataenda kumtoa. Kaa na mama uone hilo kama litamfurahisha usijegeuka adui wa wote.
 
Sifahamu kama alidekezwa maana tumeshare mama… sijakua nae mimi nimekuja kumfahamu nikiwa mkubwa kabisaa.. sijajua sasa hiyo zamani
 
Mama ni mtu anaesita ni kama anataka mara hataki… mimi nilichotaka kufanya kama hili linawezekana atolewe nyumbani yaani apewe onyo kukanyaga nyumbni sasa sijui kama hiyo kazi polisi wanaifanya
 
Huyo ni mtoto wa mama. Unaposhugulikia swala lake linaweza kukutenga na mama yako kama kwa upande wake ataona halifai.

Watoto wa aina hiyo wapo na huwafanya wazazi wapoteze uhai kwa Depression. Labda unaweza kueleza kama hajatumia kilevi hali yake inakuwaje hasa matendo yake? Je bado anakuwa mtata?
 
Huyu kuna kipindi anatulia kabisaa na ukimuona huwezi jua Kama ni msumbufu sasa sijajua ni mwezi mchanga.. maana kuna kipindi bro wangu mwinginee alimpiga sana baada ya kumwambia namna anavyo mtukana mama,, baada ya hapo alitulia kwa muda mrefu sana.. sasa now kaanza tena hilo varangati na kila siku lazima avute bangi na kunywa pombe… yaani akirudi jioni kutoka kazini ndio kunakucha mtaani
 
Mama ni mtu anaesita ni kama anataka mara hataki… mimi nilichotaka kufanya kama hili linawezekana atolewe nyumbani yaani apewe onyo kukanyaga nyumbni sasa sijui kama hiyo kazi polisi wanaifanya
Hilo la kumzuia kukanyaga nyumbani haliwezekani. Ilitakiwa wawepo kaka zako wengine washughulike naye. Na kwa ninavyoona huna kaka wengine zaidi ya huyo wa pekee.

Mimi ninaamini ukikaa na mama vizuri mkajadili jinsi ya kushughulika naye itasaidia. Kama ni kumripoti polisi lazima umueleze mama kwa kina kwa nini unaona hatua hiyo inafaa na aridhie. Ingawa anaweza kubaliana nawe ila akafanya tofauti tofauti ili kumlinda mwanaye.
 
Huyu kuna kipindi anatulia kabisaa na ukimuona huwezi jua Kama ni msumbufu sasa sijajua ni mwezi mchanga.. maana kuna kipindi bro wangu mwinginee alimpiga sana baada ya kumwambia namna anavyo mtukana mama,, baada ya hapo alitulia kwa muda mrefu sana.. sasa now kaanza tena hilo varangati na kila siku lazima avute bangi na kunywa pombe… yaani akirudi jioni kutoka kazini ndio kunakucha mtaani
Kumbe kaka wengine wapo hao ndio wapambane naye na ndio wanaweza mzuia asikanyage myumbani.
 
Huyo kachanganyikiwa na maisha na anahitaji msaada wa haraka, anatakiwa apelekwe kwa msaikolojia sema ndio hivyo bongo wasaikolojia wa mchongo.

Inaonekana alikuwa na matarajio mengi kwenye maisha, lakini mambo yamemuendea mlama na kupelekea kijiingiza kwenye ulevi na mibange.

Msaada mnaoweza kumpa ni kumpeleka sober, au kumuombea kama mnaamini Mungu anaweza badilisha tabia, pia upendo na support yenu ni muhimu kwake kwa sasa. Mkikaa nae mtieni moyo na mumshauri kwa upole na wala sio kumtupia lawama maana ndo mtamchanganya zaidi.
 
Huyo anatatizo la msongo wa mawazo
40yrs no family
40yrs hakuna mafanikio yoyote
Age & school mate wamesha toboa

Kungekuwa na uwezekano akahamishwa mazingira kinguvu, mfano kama muajiriwa akahamishwa mkoa mwingine, hayo matukio anayoyafanya ni kwasababu jamii inayomzunguka ameizoea
 
Back
Top Bottom