Nimechoka na matusi ya huyu kaka yangu mwenyewe Miaka zaidi ya 40

Nimechoka na matusi ya huyu kaka yangu mwenyewe Miaka zaidi ya 40

Subirii aje kuwachomea motoo kwenye nyumbaaa...! au awakate kate mapangaaa.. Huyo ni wa kumuacha huko japo inauma ndo ashapotea na hizo bhangii.
Mkuu uwezi kumtelekeza hospital wakiona mgonjwa kaa muda mrefu bila ndugu zake Kuja wanamuachia

Sema hapa kama kuna mtu ana fahamu soba ya bure labda kuchangia hela ya chakula kidogo tupeane connection akaae hata mwaka huko labda atabadilika
 
Sio akili ake ni pepo nimemvaa huyo aende kwa mchumbaji aombewe au kwa shekhe afanyiwe visomo vizito
 
Back
Top Bottom