evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,989
- 9,948
Kabisa mkuuHuyu nyie mnamdekeza,saa hii ilitakiwa awe gerezani.

DriverAaah basi ndio kama nilivyoelezea sijui mtamwita nani
Muuuweni maana hana faida tenaJamani mpk naandika huu uzi hatujalala tunakesha kila siku
Kimsingi huyu ni kaka yangu mkubwa kabisaa wa mwaka 84 tumeshare mama.. Yeye ni mkandarasi.sijajua tatizo ni bangi ama amerogwa.. maana bangi ni chakula kwake na mapombe
Huyu ndugu yangu atakuja kumuua mama yangu na presha kama sio kumchoma kisu.. tumeshaongea nae sana mpk polisi kupelekana lakini Hakuna alichobadilika
Yupo nyumbani tangu mwaka 2023 na hataki kuondoka tena.. alirudi home akiwa hoi kwa kupigwa huko nnje kwa ujeuri wake,, sura imejaa alama za kutosha
Wakuu majirani wapangaji wetu hawana amani, amekuwa akiwatishia kuwakata mapanga na kuwatukana matusi ya nguoni.. anafanya fujo mtaani anatukana kila mtu. Anaweza kuvuta bangi hata ndani na Hakuna wa kumfanya kitu
Kinachoniuma zaidii anamtukana sana mama yaani matusi kabisaa ya nguoni tena akiwa nnje mpk majirani wanasikia
Hii hali namuona kabisaa mama anaumia
Mama yetu mwenyewe umri umeenda yuko na 62
Sasa nauliza tu kama nitaenda kumfungulia mashtaka polisi awekwe hata jera nitakuwa nafanya vibaya???
Huyu mtu anatembea na mapanga barabarani naogopa kuna siku anaweza kutuchinja
Na Kama Kuna mtu ameshawahi kukumbana na janga Kama hili kwenye familia au majirani walitumia njia gani kupambana na mtu kama huyu
Leo tumemchangia tumempiga kaenda kutushtaki polisiTafuta afande mmoja anaeweza kupiga ngumi halafu uwagombanishe akishammyosha nenda katatue huo mgogoro baada ya kipigo
Jamani mpk naandika huu uzi hatujalala tunakesha kila siku
Kimsingi huyu ni kaka yangu mkubwa kabisaa wa mwaka 84 tumeshare mama.. Yeye ni mkandarasi.sijajua tatizo ni bangi ama amerogwa.. maana bangi ni chakula kwake na mapombe
Huyu ndugu yangu atakuja kumuua mama yangu na presha kama sio kumchoma kisu.. tumeshaongea nae sana mpk polisi kupelekana lakini Hakuna alichobadilika
Yupo nyumbani tangu mwaka 2023 na hataki kuondoka tena.. alirudi home akiwa hoi kwa kupigwa huko nnje kwa ujeuri wake,, sura imejaa alama za kutosha
Wakuu majirani wapangaji wetu hawana amani, amekuwa akiwatishia kuwakata mapanga na kuwatukana matusi ya nguoni.. anafanya fujo mtaani anatukana kila mtu. Anaweza kuvuta bangi hata ndani na Hakuna wa kumfanya kitu
Kinachoniuma zaidii anamtukana sana mama yaani matusi kabisaa ya nguoni tena akiwa nnje mpk majirani wanasikia
Hii hali namuona kabisaa mama anaumia
Mama yetu mwenyewe umri umeenda yuko na 62
Sasa nauliza tu kama nitaenda kumfungulia mashtaka polisi awekwe hata jera nitakuwa nafanya vibaya???
Huyu mtu anatembea na mapanga barabarani naogopa kuna siku anaweza kutuchinja
Na Kama Kuna mtu ameshawahi kukumbana na janga Kama hili kwenye familia au majirani walitumia njia gani kupambana na mtu kama huyu
Angalieni ndugu zenu wa extended family maana kuna ndugu wengine ni shida kuwa nao karibu.Inawezekana maana ni mtu mwenye ana sijui akili sijui uelewe mzuri… maana Hakuna sehemu anaomba kazi akakosa kwaiyo fani yake Tatizo lake ni mkorofi wanamchoka wanamuachisha na anapata sehemu nyinginee
Ila hela zake zinaishia kwenye Mapombe na mabangi
Imagine siku ya jana alikuwa na 1m lakini kabebwa na polisi anatoa laki 2 tumuhifadhie kaenda kununua mavitu hayana maaana
Ana kazi nzuri mshahara mzuri ila hana maendeleo yoyote kaishiaga kununua kiwanja tu Miaka na miaka
Tandika bakola huyo.hicho kilevi ndo humpa utahilaHuyu kuna kipindi anatulia kabisaa na ukimuona huwezi jua Kama ni msumbufu sasa sijajua ni mwezi mchanga.. maana kuna kipindi bro wangu mwinginee alimpiga sana baada ya kumwambia namna anavyo mtukana mama,, baada ya hapo alitulia kwa muda mrefu sana.. sasa now kaanza tena hilo varangati na kila siku lazima avute bangi na kunywa pombe… yaani akirudi jioni kutoka kazini ndio kunakucha mtaani
Kwa nn usiwe aggresive kama Lamomy ? Lamomy anapigwa bani kila mwezi kwa utukutu. wakati kalaga baho bani toka nijiunge humu sijwahi kubigwa.Halagi nyumbani.. kuhusu hospital ukiliongelea hilo suala utaoga matusi na kushikiwa panga
Subirii aje kuwachomea motoo kwenye nyumbaaa...! au awakate kate mapangaaa.. Huyo ni wa kumuacha huko japo inauma ndo ashapotea na hizo bhangii.Ndugu zanguni tulifanikiwa kumpeleka hospital aliwekwa kwenye watu wenye matatizo ya Afya ya akili wamemuweka pale takribani siku 16 ametoka ana siku 2 sasa
Kwakweli alipokuwa huko alikuwa mzurii mpk nuru ya uso ilionekana kama mnavyojua mabangi na pombe zinafanya mtu anazeeka
Ila ndugu zangu huyu kaka tena jana na Leo nimemshuhudia anavuta masigara sijui ndio bangi nashindwa kumuelewa mtu gani asiejionea huruma
Pamoja na kupoteza hela zetu nyingi kumpeleka hospital na kumuhudumia chakula kila siku alipolazwa ameshindwa hata kuona madhara ya hayo mabangi jamani
Alivyokuwa hospital alitia huruma sana akiomba kutoka kwamba kabadilikaa lakini hata wiki hajamaliza ameanza kuvuta tena 😭😭
Jamani mpk naandika huu uzi hatujalala tunakesha kila siku
Kimsingi huyu ni kaka yangu mkubwa kabisaa wa mwaka 84 tumeshare mama.. Yeye ni mkandarasi.sijajua tatizo ni bangi ama amerogwa.. maana bangi ni chakula kwake na mapombe
Huyu ndugu yangu atakuja kumuua mama yangu na presha kama sio kumchoma kisu.. tumeshaongea nae sana mpk polisi kupelekana lakini Hakuna alichobadilika
Yupo nyumbani tangu mwaka 2023 na hataki kuondoka tena.. alirudi home akiwa hoi kwa kupigwa huko nnje kwa ujeuri wake,, sura imejaa alama za kutosha
Wakuu majirani wapangaji wetu hawana amani, amekuwa akiwatishia kuwakata mapanga na kuwatukana matusi ya nguoni.. anafanya fujo mtaani anatukana kila mtu. Anaweza kuvuta bangi hata ndani na Hakuna wa kumfanya kitu
Kinachoniuma zaidii anamtukana sana mama yaani matusi kabisaa ya nguoni tena akiwa nnje mpk majirani wanasikia
Hii hali namuona kabisaa mama anaumia
Mama yetu mwenyewe umri umeenda yuko na 62
Sasa nauliza tu kama nitaenda kumfungulia mashtaka polisi awekwe hata jera nitakuwa nafanya vibaya???
Huyu mtu anatembea na mapanga barabarani naogopa kuna siku anaweza kutuchinja
Na Kama Kuna mtu ameshawahi kukumbana na janga Kama hili kwenye familia au majirani walitumia njia gani kupambana na mtu kama huyu
Jamani mpk naandika huu uzi hatujalala tunakesha kila siku
Kimsingi huyu ni kaka yangu mkubwa kabisaa wa mwaka 84 tumeshare mama.. Yeye ni mkandarasi.sijajua tatizo ni bangi ama amerogwa.. maana bangi ni chakula kwake na mapombe
Huyu ndugu yangu atakuja kumuua mama yangu na presha kama sio kumchoma kisu.. tumeshaongea nae sana mpk polisi kupelekana lakini Hakuna alichobadilika
Yupo nyumbani tangu mwaka 2023 na hataki kuondoka tena.. alirudi home akiwa hoi kwa kupigwa huko nnje kwa ujeuri wake,, sura imejaa alama za kutosha
Wakuu majirani wapangaji wetu hawana amani, amekuwa akiwatishia kuwakata mapanga na kuwatukana matusi ya nguoni.. anafanya fujo mtaani anatukana kila mtu. Anaweza kuvuta bangi hata ndani na Hakuna wa kumfanya kitu
Kinachoniuma zaidii anamtukana sana mama yaani matusi kabisaa ya nguoni tena akiwa nnje mpk majirani wanasikia
Hii hali namuona kabisaa mama anaumia
Mama yetu mwenyewe umri umeenda yuko na 62
Sasa nauliza tu kama nitaenda kumfungulia mashtaka polisi awekwe hata jera nitakuwa nafanya vibaya???
Huyu mtu anatembea na mapanga barabarani naogopa kuna siku anaweza kutuchinja
Na Kama Kuna mtu ameshawahi kukumbana na janga Kama hili kwenye familia au majirani walitumia njia gani kupambana na mtu kama huyu
NENDENI sinza tafuteni jamaa WA madawaJamani mpk naandika huu uzi hatujalala tunakesha kila siku

Hilo janga cha kwanza nenda polisi apigwe haswa wekeni home wamasai walinzi ....asikanyage....Jamani mpk naandika huu uzi hatujalala tunakesha kila siku
Kimsingi huyu ni kaka yangu mkubwa kabisaa wa mwaka 84 tumeshare mama.. Yeye ni mkandarasi.sijajua tatizo ni bangi ama amerogwa.. maana bangi ni chakula kwake na mapombe
Huyu ndugu yangu atakuja kumuua mama yangu na presha kama sio kumchoma kisu.. tumeshaongea nae sana mpk polisi kupelekana lakini Hakuna alichobadilika
Yupo nyumbani tangu mwaka 2023 na hataki kuondoka tena.. alirudi home akiwa hoi kwa kupigwa huko nnje kwa ujeuri wake,, sura imejaa alama za kutosha
Wakuu majirani wapangaji wetu hawana amani, amekuwa akiwatishia kuwakata mapanga na kuwatukana matusi ya nguoni.. anafanya fujo mtaani anatukana kila mtu. Anaweza kuvuta bangi hata ndani na Hakuna wa kumfanya kitu
Kinachoniuma zaidii anamtukana sana mama yaani matusi kabisaa ya nguoni tena akiwa nnje mpk majirani wanasikia
Hii hali namuona kabisaa mama anaumia
Mama yetu mwenyewe umri umeenda yuko na 62
Sasa nauliza tu kama nitaenda kumfungulia mashtaka polisi awekwe hata jera nitakuwa nafanya vibaya???
Huyu mtu anatembea na mapanga barabarani naogopa kuna siku anaweza kutuchinja
Na Kama Kuna mtu ameshawahi kukumbana na janga Kama hili kwenye familia au majirani walitumia njia gani kupambana na mtu kama huyu
Daah wewe jamaa una Roho ngumu yaani kaka angu ndio nimpakazie kesi namna hiyoNENDENI sinza tafuteni jamaa WA madawa
NENDENI chumbani kwakeee wekeni mizigooo
Iteni polisi wasachi hio nyumba..MSIOGOPE mama ataenda polisi kutoa tu ushahidi HUYO n mwanae BAADA yahapo waachien jamhuri WAFANYE KAZI yao
Nyie KAZI YENU kusubiri siku ya kesi na kutoa ushahidi huyu ndio michezo na biashara zake
Siku ya hukumu mnanunu kvant na konyagi mnasubiria MAAMUZI
After ntafteni tulee bataaa mshenzi kama HUYO HATA haitajii mda kukaa na jamiiiii