Mpelekeni hospitali huyo kashukuwa kichaa. Afungwe kamba aende hospitali. Mkiendelea kumfikiri kuwa ni tabia awaua.Jamani mpk naandika huu uzi hatujalala tunakesha kila siku
Kimsingi huyu ni kaka yangu mkubwa kabisaa wa mwaka 84 tumeshare mama.. Yeye ni mkandarasi.sijajua tatizo ni bangi ama amerogwa.. maana bangi ni chakula kwake na mapombe
Huyu ndugu yangu atakuja kumuua mama yangu na presha kama sio kumchoma kisu.. tumeshaongea nae sana mpk polisi kupelekana lakini Hakuna alichobadilika
Yupo nyumbani tangu mwaka 2023 na hataki kuondoka tena.. alirudi home akiwa hoi kwa kupigwa huko nnje kwa ujeuri wake,, sura imejaa alama za kutosha
Wakuu majirani wapangaji wetu hawana amani, amekuwa akiwatishia kuwakata mapanga na kuwatukana matusi ya nguoni.. anafanya fujo mtaani anatukana kila mtu. Anaweza kuvuta bangi hata ndani na Hakuna wa kumfanya kitu
Kinachoniuma zaidii anamtukana sana mama yaani matusi kabisaa ya nguoni tena akiwa nnje mpk majirani wanasikia
Hii hali namuona kabisaa mama anaumia
Mama yetu mwenyewe umri umeenda yuko na 62
Sasa nauliza tu kama nitaenda kumfungulia mashtaka polisi awekwe hata jera nitakuwa nafanya vibaya???
Huyu mtu anatembea na mapanga barabarani naogopa kuna siku anaweza kutuchinja
Na Kama Kuna mtu ameshawahi kukumbana na janga Kama hili kwenye familia au majirani walitumia njia gani kupambana na mtu kama huyu
Hospital tunampelekaje mkuu.. unavyoona hapa tumetoka polisi na sungusungu ila ameachiwa wanasema hawawezi kulaza vichaa maana mara ya mwisho alitaka kujinyonga huko lockupMpelekeni hospitali huyo kashukuwa kichaa. Afungwe kamba aende hospitali. Mkiendelea kumfikiri kuwa ni tabia awaua.
Yaani mama ndio anasuasua anakuwa anamuonea huruma jamani 😭😭Huyu nyie mnamdekeza,saa hii ilitakiwa awe gerezani.
Ninachoweza kusema huyo ni mtoto wa mama na huenda mpaka anafika hapo mama amechangia.Jamani mpk naandika huu uzi hatujalala tunakesha kila siku
Kimsingi huyu ni kaka yangu mkubwa kabisaa wa mwaka 84 tumeshare mama.. Yeye ni mkandarasi.sijajua tatizo ni bangi ama amerogwa.. maana bangi ni chakula kwake na mapombe
Huyu ndugu yangu atakuja kumuua mama yangu na presha kama sio kumchoma kisu.. tumeshaongea nae sana mpk polisi kupelekana lakini Hakuna alichobadilika
Yupo nyumbani tangu mwaka 2023 na hataki kuondoka tena.. alirudi home akiwa hoi kwa kupigwa huko nnje kwa ujeuri wake,, sura imejaa alama za kutosha
Wakuu majirani wapangaji wetu hawana amani, amekuwa akiwatishia kuwakata mapanga na kuwatukana matusi ya nguoni.. anafanya fujo mtaani anatukana kila mtu. Anaweza kuvuta bangi hata ndani na Hakuna wa kumfanya kitu
Kinachoniuma zaidii anamtukana sana mama yaani matusi kabisaa ya nguoni tena akiwa nnje mpk majirani wanasikia
Hii hali namuona kabisaa mama anaumia
Mama yetu mwenyewe umri umeenda yuko na 62
Sasa nauliza tu kama nitaenda kumfungulia mashtaka polisi awekwe hata jera nitakuwa nafanya vibaya???
Huyu mtu anatembea na mapanga barabarani naogopa kuna siku anaweza kutuchinja
Na Kama Kuna mtu ameshawahi kukumbana na janga Kama hili kwenye familia au majirani walitumia njia gani kupambana na mtu kama huyu
Sifahamu kama alidekezwa maana tumeshare mama… sijakua nae mimi nimekuja kumfahamu nikiwa mkubwa kabisaa.. sijajua sasa hiyo zamaniNinachoweza kusema huyo ni mtoto wa mama na huenda mpaka anafika hapo mama amechangia.
Ukifuatilia watoto wa kiume wengi wasumbufu ni wale mama's boys. Na pindi baba alipokuwa anachukua hatua dhidi yake ili kuweka sawa anapokosea mama alimkumbatia. Na kama sivyo alilelewa bila baba.
Ukimfungulia mashtaka atakayeumia ni mama yako. Akitupwa rumande kwa onyo mama ataenda kumtoa. Kaa na mama uone hilo kama litamfurahisha usijegeuka adui wa wote.
Atakuja juwaua huyo kuweni makini sanaYaani mama ndio anasuasua anakuwa anamuonea huruma jamani 😭😭
Mama ni mtu anaesita ni kama anataka mara hataki… mimi nilichotaka kufanya kama hili linawezekana atolewe nyumbani yaani apewe onyo kukanyaga nyumbni sasa sijui kama hiyo kazi polisi wanaifanyaNinachoweza kusema huyo ni mtoto wa mama na huenda mpaka anafika hapo mama amechangia.
Ukifuatilia watoto wa kiume wengi wasumbufu ni wale mama's boys. Na pindi baba alipokuwa anachukua hatua dhidi yake ili kuweka sawa anapokosea mama alimkumbatia. Na kama sivyo alilelewa bila baba.
Ukimfungulia mashtaka atakayeumia ni mama yako. Akitupwa rumande kwa onyo mama ataenda kumtoa. Kaa na mama uone hilo kama litamfurahisha usijegeuka adui wa wote.
Yaani mpk tunaogopa imagine ni tunakesha Hakuna kulala mara aseme atachinja mtuAtakuja juwaua huyo kuweni makini sana
Halagi nyumbani.. kuhusu hospital ukiliongelea hilo suala utaoga matusi na kushikiwa pangaHuenda ni tatizo la utimamu wa akili.Jaribuni kumpeleka hospitali apimwe akili na aanze matibabu.Chakula na maji yake muwe mnamuwekea dawa xa kutibu uraibu huo zipo
Huyo ni mtoto wa mama. Unaposhugulikia swala lake linaweza kukutenga na mama yako kama kwa upande wake ataona halifai.Sifahamu kama alidekezwa maana tumeshare mama… sijakua nae mimi nimekuja kumfahamu nikiwa mkubwa kabisaa.. sijajua sasa hiyo zamani
Huyu kuna kipindi anatulia kabisaa na ukimuona huwezi jua Kama ni msumbufu sasa sijajua ni mwezi mchanga.. maana kuna kipindi bro wangu mwinginee alimpiga sana baada ya kumwambia namna anavyo mtukana mama,, baada ya hapo alitulia kwa muda mrefu sana.. sasa now kaanza tena hilo varangati na kila siku lazima avute bangi na kunywa pombe… yaani akirudi jioni kutoka kazini ndio kunakucha mtaaniHuyo ni mtoto wa mama. Unaposhugulikia swala lake linaweza kukutenga na mama yako kama kwa upande wake ataona halifai.
Watoto wa aina hiyo wapo na huwafanya wazazi wapoteze uhai kwa Depression. Labda unaweza kueleza kama hajatumia kilevi hali yake inakuwaje hasa matendo yake? Je bado anakuwa mtata?
Hilo la kumzuia kukanyaga nyumbani haliwezekani. Ilitakiwa wawepo kaka zako wengine washughulike naye. Na kwa ninavyoona huna kaka wengine zaidi ya huyo wa pekee.Mama ni mtu anaesita ni kama anataka mara hataki… mimi nilichotaka kufanya kama hili linawezekana atolewe nyumbani yaani apewe onyo kukanyaga nyumbni sasa sijui kama hiyo kazi polisi wanaifanya
Kumbe kaka wengine wapo hao ndio wapambane naye na ndio wanaweza mzuia asikanyage myumbani.Huyu kuna kipindi anatulia kabisaa na ukimuona huwezi jua Kama ni msumbufu sasa sijajua ni mwezi mchanga.. maana kuna kipindi bro wangu mwinginee alimpiga sana baada ya kumwambia namna anavyo mtukana mama,, baada ya hapo alitulia kwa muda mrefu sana.. sasa now kaanza tena hilo varangati na kila siku lazima avute bangi na kunywa pombe… yaani akirudi jioni kutoka kazini ndio kunakucha mtaani
Una matatizo ya akili tunakuhesabia siku uwe kama kaka yakoYaani mama ndio anasuasua anakuwa anamuonea huruma jamani 😭😭