Nimechoka na matusi ya huyu kaka yangu mwenyewe Miaka zaidi ya 40

Apelekwe soba utakuja nishukuru baadae! Angekuja Arusha ingependeza zaidi.
 
Eti bongo wanasaikolojia wa mchongo, mwelekeze basi huko kwenye wanasaikolojia halisi. We ndio wale wa hovyo.
 
Hapana huyu kila anapoenda anafanya vurugu
 
Huyu huwezi kukaa nae ukaongea… kuna mkubwa wetu alijaribu yaani ni anapandisha anakuwa juu na kukutukana juu
 
Mpelekeni rehabilitation center au mnaita sober house.
Au mpelekeni hospital ya vichaa kule Tanga au Milembe
Mkishindwa mfungulieni mashitaka akifungwa anaweza kupumzika bangi ikasaidia.
Hospital tunampelekaje mkuu.. unavyoona hapa tumetoka polisi na sungusungu ila ameachiwa wanasema hawawezi kulaza vichaa maana mara ya mwisho alitaka kujinyonga huko lockup
 
Mgawe tu hamna jinsi
 
Ana mke?
Watoto?
Kazi gani?
Dini gani?
Kaka yenu kwa nini asimchukue akae naye
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…