Nimechoshwa na Huu umungu mtu unaooneshwa na serikali! Mpaka Sasa Mshahara haujatoka? Mnatuchukuliaje?

πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† ndo mana leo jirani yangu karud kanyong'onyea

si anasemaga sisi bodaboda mbupu muda ote znavibrate kisa kukaa kwenye tanki
 
Sawa mkuu ila kwa tunachokipokea uwa tunakipangia bajeti ya mwezi Mzima sasa mwezi umetisha tangu tumelipwa so it means tumeishiwa kabisaa sasa tunaishije? Waingize mzigo wetu kwa utaratibu tuliozoea
 
Kwani tarehe 30 June Imepita?
 
Kama hamkubaliani na Reforms na Rebuilding mfateni alipo, mnangoja nini?

Awamu hii ishasema mwisho wa mwezi uwe mwisho wa mwezi kweli. Ni nini msichoelewa hapo? Mshahara ni mwisho wa mwezi siyo kati ya mwezi.
Ukimlipa mtu tarehe 22 mwezi May mwisho wa mwezi kwake ni June 21 hadi 22. Ukizidisha hapo unakuwa umemtumikisha zaidi ya mwezi bila malipo.

Watumishi wanasema walilipwa tarehe 22 May, hadi leo ni takribani siku 33 zimepita. Ulitaka wakae kimya kwa kutumika zaidi ya mwezi bila malipo?
 
Mshahara tukikubaliana ulipwe kila baada ya siku thelathini, let say kuanzia siku ile unayoanza kazi, basi hii hesabu yako ya tarehe 1 kila mwezi itakufa automatically.
 
Sawa mkuu ila kwa tunachokipokea uwa tunakipangia bajeti ya mwezi Mzima sasa mwezi umetisha tangu tumelipwa so it means tumeishiwa kabisaa sasa tunaishije? Waingize mzigo wetu kwa utaratibu tuliozoea
Mshahara unaoudai ni wa mwezi gani?

Mwezi wa tano au wa sita?

Kama wa mwezi wa sita, mbona mwezi una wiki moja bado kuisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…