copyright
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 584
- 584
Kwanini nitunziwe wakati mi mwenyewe Nina uwezo wa kuitunza?? Mbona wajeda hawatunziwiHela yako umehifadhiwa utaipata ila ulonayo itumie vizur tarehe 28 ni mbal mbali ukiwa huna hela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini nitunziwe wakati mi mwenyewe Nina uwezo wa kuitunza?? Mbona wajeda hawatunziwiHela yako umehifadhiwa utaipata ila ulonayo itumie vizur tarehe 28 ni mbal mbali ukiwa huna hela
Bora ss tuliojiajiri na betting tunajilipa muda wowote🤣🤣🤣Mimi sio wa serikali. Mpaka tarehe zigonge mwisho ila nimewekeza kwenye betting so silii hovyo.
Huenda ilitokea katika channel rasmi za serikali hivyo ikafika hadi huku mabonde kuinama!!Lakini hakuna taarifa official, kwahiyo siku hizi taarifa za serikali zinatokea JF? Bora hata nilivojiajiri, watumishi wana magumu sana 😃
Bora ss tuliojiajiri na betting tunajilipa muda wowote🤣🤣🤣Mimi sio wa serikali. Mpaka tarehe zigonge mwisho ila nimewekeza kwenye betting so silii hovyo.
Ni simple logic ya mshahara wa mwezi kulipwa mara baada ya mwezi huo kuisha.Ni Sheria gani hii mkuu? Umequote kutoka wapi
Mkuu tena natakiwa kupanda ndo mana nimemindUnalipwa TGS ipi mkuu?
Mi nachojua muda wa kulipana umefika ko watupe chetu sisi tukidelay kwenye kazi zao wanatuwashia motoHahahah!! Kwani mkataba wako w kazi salary inatakiwa kutoka tarehe ngapi? Tuanzie hapo Kwanza!!!
KAZI ni kipimo cha UTU
Ahaa sawa sisi wengine fundi ujenzi. Hatujui maswala ya mwisho wa mweziToka wakati wa mwendazake aliwazoesha kutoka 23/kila mwezi!
Sasa wanatuchelewesha wapi wakati wana kibunda tayari
Haya subiria haki yako iko palepale tunapitia na kuhakiki taarifa zenu za kupanda madarajaMkuu tena natakiwa kupanda ndo mana nimemind
😄😄Walimu wa madrasa lakini sidhani km ana elimu zaidi ya hiyo
IMF si wametema juzi tuuTulieni mama yenu Kuna deal la mkopo anasikilizia pahali likitiki mtalipwa tu muwe na subra.
Dah bora kupambana na mishe zako tuu ila ndo hivyo tunakosaga mitaji na maamuziKuajiriwa mtiha jobless mtiha aisee
Bado mpaka sasa vumbi tupuKama unachukulia nmb angalia Salio imetoka.
Ahh tujipe tu moyoTuwe wavumilivu! Kuna kibunda cha nguvu kinakujq.
Ni kweli lakini kupata kwao nasi tusio na ajira serikalini tunazipata...huenda kama wangekuwa wameshapata ungeshaitwa kwenda kujenga sehemuAhaa sawa sisi wengine fundi ujenzi. Hatujui maswala ya mwisho wa mwezi