Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo bibi Faiza haelewi ana kichwa kigumu, mfano mzuri mwisho wa mwaka wa hesabu za serikali ni tar 30 June na siyo tarehe 31 december, Mfundisheni kwamba mwisho wa mwezi kwa mtumishi wa serikali ni tar 21 au 22, ili kuujaza mwezi kamili.Huo mwisho wa mwezi wa kujazwa ujinga.
Mwisho wa mwezi ni mwishoi wa mwezi kama ilivyo kwenye kalenda na inavyojulikana dunia nzima.
Halafu utakuta wewe ni mwalimu unaeendelea kuwajaza ujinga watoto wa kimasikini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vipi wee mshahara bado, unigawie na mie kiduchuu!!Huyo hana mshahara ana posho ya buku 7 nayo ni mpaka aandike nyuzi zakusifia na azitume kwa mwenezi wa chama
Iwe hivyo haina tofauti. Ukinilipa tarehe 22 nategemea tarehe 22 nyingine unilipe.Wewe sema una madeni ya grocery tu, ilishatangazwa siku nyingi kuwa mwisho wa mwezi uwe mwisho wa mwezi kweli, siyo kudanganyana.
DuhPoint of correction mzigo wa May uliingia tar 21. Leo June ni tar 24 inamaana Mwezi umeisha bila mzigo kuingia.
Mkuu Hali ni mbaya na wakumbuke sisi hatuna posho kama wao wanaolipana kwenye kila kikao Cha kaziNaona sasa kilio kimekolea.
Hela yako umehifadhiwa utaipata ila ulonayo itumie vizur tarehe 28 ni mbal mbali ukiwa huna helaPoleni kwa majukumu wakuu!!
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada..
Leo ni tar24 lakini mpaka sasa (17:58 hrs) mishahara ya watumishi wa serikali haijatoka. Hali hii sio ya kawaida na inatupa hofu kidogo juu ya serikali yetu pendwa chini ya mama Samia, hivyo sisi tusio na access na taarifa za habari tunaomba kufahamishwa kama kuna taarifa yoyote juu ya hili, maana unaweza ukapuuzia kumbe kuna tangazo la kupokea mishahara dirishani (cash in hand) limetolewa na hujalipata.
NB: Hadi sasa watumishi tumetumika mwezi Mzima bila kulipa, from May 24 to June 23..
Asalam Alaikum..
Kuna watoto Wana hasara yaani ww ndo mama Yao... Stupid kabisaHizo ni tarehe mlizozowea kulipwa lakini siyo mwisho wa mwezi. Mkajijaza ujinga kuwa huo ndiyo mwisho wa mwezi.
Unazidi kunihakikishia kuwa shuleni ulienda kusomea ujinga.
Ni kweli nadaiwa grocery na niliahidi tarehe 22.Wewe sema una madeni ya grocery tu, ilishatangazwa siku nyingi kuwa mwisho wa mwezi uwe mwisho wa mwezi kweli, siyo kudanganyana.
Yani ni mateso na wanajua sisi hatuna posho wala marupurupu kama waoKwa kifupi leo ni siku ya 32 tangu mshahara wa May ulivotoka
Ni Sheria gani hii mkuu? Umequote kutoka wapiHuo mshahara wa May au wa June?
Mshahara wa May unatakiwa kulipwa by June 1.
Mshahara wa June unatakiwa kulipwa by July 1.
Tayari. Juzi tu ✅️✅️✅️👏👏👏Tulieni kwanza akakope, mna haraka ya nini?
Mtoto wako aliyezaliwa march 22 anajaza mwaka/birthday yake ni lini?Hizo ni tarehe mlizozowea kulipwa lakini siyo mwisho wa mwezi. Mkajijaza ujinga kuwa huo ndiyo mwisho wa mwezi.
Unazidi kunihakikishia kuwa shuleni ulienda kusomea ujinga.