Nimechoshwa na Huu umungu mtu unaooneshwa na serikali! Mpaka Sasa Mshahara haujatoka? Mnatuchukuliaje?

Nimechoshwa na Huu umungu mtu unaooneshwa na serikali! Mpaka Sasa Mshahara haujatoka? Mnatuchukuliaje?

Lakini hakuna taarifa official, kwahiyo siku hizi taarifa za serikali zinatokea JF? Bora hata nilivojiajiri, watumishi wana magumu sana 😃
Huenda ilitokea katika channel rasmi za serikali hivyo ikafika hadi huku mabonde kuinama!!
 
Ni Sheria gani hii mkuu? Umequote kutoka wapi
Ni simple logic ya mshahara wa mwezi kulipwa mara baada ya mwezi huo kuisha.

Mshahara wa mwezi wa June, kimantiki, hauwezi kusemwa kwamba umechelewa, ikiwa mwezi huo bado haujaisha.

Ukikipwa pesa kabla ya kufanya kazi katika muktadha wa mshahara, hiyo ni advance ya mshahara, si mshahara.

Ni pesa ambayo unaweza kunyang'anywa ikiwa hujamaliza hiyo kazi.
 
Kuna watu vichwa ngumu, yaani mtu haelewi kwamba kutoka may 23 mpaka juni 23 ni mwezi mzima hapo. Yaani mi najawa na hasira natamani hata nilifire matacon toto la mtu kujifanya kichwa ngumu... Sijui makusudi au ndo kujitoa ubongo, jitu likija ki wack nalitukana.
 
Back
Top Bottom