Nimechoshwa na Huu umungu mtu unaooneshwa na serikali! Mpaka Sasa Mshahara haujatoka? Mnatuchukuliaje?

Nimechoshwa na Huu umungu mtu unaooneshwa na serikali! Mpaka Sasa Mshahara haujatoka? Mnatuchukuliaje?

πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† ndo mana leo jirani yangu karud kanyong'onyea

si anasemaga sisi bodaboda mbupu muda ote znavibrate kisa kukaa kwenye tanki
 
Ni simple logic ya mshahara wa mwezi kulipwa mara baada ya mwezi huo kuisha.

Mshahara wa mwezi wa June, kimantiki, hauwezi kusemwa kwamba umechelewa, ikiwa mwezi huo bado haujaisha.

Ukikipwa pesa kabla ya kufanya kazi katika muktadha wa mshahara, hiyo ni advance ya mshahara, si mshahara.

Ni pesa ambayo unaweza kunyang'anywa ikiwa hujamaliza hiyo kazi.
Sawa mkuu ila kwa tunachokipokea uwa tunakipangia bajeti ya mwezi Mzima sasa mwezi umetisha tangu tumelipwa so it means tumeishiwa kabisaa sasa tunaishije? Waingize mzigo wetu kwa utaratibu tuliozoea
 
Poleni kwa majukumu wakuu!!

Naomba niende moja kwa moja kwenye mada..

Leo ni tar24 lakini mpaka sasa (17:58 hrs) mishahara ya watumishi wa serikali haijatoka. Hali hii sio ya kawaida na inatupa hofu kidogo juu ya serikali yetu pendwa chini ya mama Samia, hivyo sisi tusio na access na taarifa za habari tunaomba kufahamishwa kama kuna taarifa yoyote juu ya hili, maana unaweza ukapuuzia kumbe kuna tangazo la kupokea mishahara dirishani (cash in hand) limetolewa na hujalipata.

NB: Hadi sasa watumishi tumetumika mwezi Mzima bila kulipa, from May 24 to June 23..

Asalam Alaikum..
Kwani tarehe 30 June Imepita?
 
Kama hamkubaliani na Reforms na Rebuilding mfateni alipo, mnangoja nini?

Awamu hii ishasema mwisho wa mwezi uwe mwisho wa mwezi kweli. Ni nini msichoelewa hapo? Mshahara ni mwisho wa mwezi siyo kati ya mwezi.
Ukimlipa mtu tarehe 22 mwezi May mwisho wa mwezi kwake ni June 21 hadi 22. Ukizidisha hapo unakuwa umemtumikisha zaidi ya mwezi bila malipo.

Watumishi wanasema walilipwa tarehe 22 May, hadi leo ni takribani siku 33 zimepita. Ulitaka wakae kimya kwa kutumika zaidi ya mwezi bila malipo?
 
Ni simple logic ya mshahara wa mwezi kulipwa mara baada ya mwezi huo kuisha.

Mshahara wa mwezi wa June, kimantiki, hauwezi kusemwa kwamba umechelewa, ikiwa mwezi huo bado haujaisha.

Ukikipwa pesa kabla ya kufanya kazi katika muktadha wa mshahara, hiyo ni advance ya mshahara, si mshahara.

Ni pesa ambayo unaweza kunyang'anywa ikiwa hujamaliza hiyo kazi.
Mshahara tukikubaliana ulipwe kila baada ya siku thelathini, let say kuanzia siku ile unayoanza kazi, basi hii hesabu yako ya tarehe 1 kila mwezi itakufa automatically.
 
Sawa mkuu ila kwa tunachokipokea uwa tunakipangia bajeti ya mwezi Mzima sasa mwezi umetisha tangu tumelipwa so it means tumeishiwa kabisaa sasa tunaishije? Waingize mzigo wetu kwa utaratibu tuliozoea
Mshahara unaoudai ni wa mwezi gani?

Mwezi wa tano au wa sita?

Kama wa mwezi wa sita, mbona mwezi una wiki moja bado kuisha?
 
Back
Top Bottom