Nimechoshwa na Huu umungu mtu unaooneshwa na serikali! Mpaka Sasa Mshahara haujatoka? Mnatuchukuliaje?

Kwani mkataba wako unaonyesha inapaswa ulipwe tarehe 24 net?
 
Mkataba wako ulionyesha utalipwa tarehe ngapi?




KAZI ni kipimo cha UTU
 
Kama mshahara ni wa mwezi June, obligation ya serikali kulipa mshahara inaanza baada ya mwezi kuisha.

Mwezi haujaisha.

Serikali haina obligation ya kulipa mshahara wa mwezi ambao bado haujaisha.

Ukibisha weka mkataba wa kazi au standing order ya serikali kutoka kwa katibu mkuu utumishi iki validate madai yako.
 
Mshahara tuwape mnafanya kazi gani ya kulilia kodi zetu
 
Mtoto wako aliyezaliwa march 22 anajaza mwaka/birthday yake ni lini?
Kwanza hata Kingereza huelewi, bitrthday ni siku aliyozaliwa, kama alhamisi ndiyo itakuwa birthday yake. Unaongelea birthday au birthdate? Fikiri japo kiduchu.

Mimi nasherehekea birhday yangu kwa kumcha na kumshukuru Allah kila siku yangu ya kuzaliwa ikifika, kumbiuka, siyo tarehe ya kuzaliwa.

Huo wa kugeuziwa birthday ikawa birthdate ndiyo ujinga mliosomea, mimi sina huo.
 
Iulize hiyo serikali mara ya mwisho ililipa mshahara tarehe ngapi ya mwezi uliopita? ukipata jibu utuambie hiyo "obligation" yako inatokea wapi kama sio utapeli.
 
Mwaka wa fedha unaanza tarehe 01/07 na kuisha tarehe 30/06.
Unaanza Mwanzo wa mwezi na kuisha Mwisho wa mwezi na sio tarehe 22
Kwa nini hauanzi tarehe 22 .
Hiyo ya kulipwa mshahara tarehe 22 ni favour tu na sio haki yako kulipwa tarehe hiyo.
Ingetakiwa ukiwa mtu makini hiyo fedha uanze kuitumia kuanzia tarehe 01 mwezi unaofuata
Hili taifa lina baadhi ya watumishi ni wajinga na hawajitambui na kwa akili hizi mtaendelea kuwa watumwa wa kusubiri mishahara ndio msurvive.
Embu jiongezeni bana mnatia aibu ebo yaani mtu mzima kabisa unalalamikia mshahara wakati mwisho wa mwezi haujafika stupid asshole mkubwa wewe
 
Wacha kulalamika kipoyoyo, mwisho wa mwezi bado haujafika. nenda tu kamfahamishe mangi mwenye grocery atakuelewa.
 
Kwa nini mwaka wa fedha wa serikali hauanzi tarehe moja ya mwezi wa kwanza na kuisha 31 disemba kama ilivyo kawaida? Mwaka na miezi ya fedha ya serikali ni tofauti na tunavyohesabu kawaida. Watu wakifanya kazi siku 30 wanastahili kulipwa.
 
Iulize hiyo serikali mara ya mwisho ililipa mshahara tarehe ngapi ya mwezi uliopita? ukipata jibu utuambie hiyo "obligation" yako inatokea wapi kama sio utapeli.
Tarehe ya mwisho kulipwa mshahara, as long as ililipwa kabla ya mwisho wa huo mwezi, ni irrelevant katika mazungumzo ya mshahara wa mwezi huu.
 
Ingekuwa mwezi umekwisha angekuwa na haki ya kupigania sasa hata mwezi haujaisha.
Ninavyojua mimi mishahara serikalini inatolewa on monthly basis on arrears
Kwamba unafanya kazi kwanza ndio unakuja kulipwa mwisho wa mwezi
Elimu yako tafadhari? Mpaka sasa wafanyakazi waliopokea mshahara 21/5/2024 je leo ni siku ya ngapi?
 
unawaza upinde tu, burudika mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…