Ya kale dhahabu
JF-Expert Member
- Oct 25, 2023
- 317
- 495
Hivi ukimlipa mtu kila baada ya tarehe 23 ya mwezi na mwingine akawa analipwa kila baada ya tarehe 30 ya mwezi unadhani hawa watu wawili wana tofauti?,Hapo hakuna tofauti wote wamefanya kazi kwa siku 30 ndipo wakapokea mafao yaoLogically nikikulipa kabla ya deadline si kosa, kwa sababu sijakucheleweshea mshahara, nikikulipa baada ya deadline ni kosa kwa sababu nimekucheleweshea mshahara.
Huelewi nini hapo?
Serikali haija violate standing order mpaka itakapolipa mshahara baada ya mwisho wa mwezi.Unazunguka sana, nimeshakwambia serikali yenyewe haifuati hiyo standing order waliyojiwekea, kwanini wao walipe mshahara kabla ya mwisho wa mwezi?
Najua utarudi kulekule kuwatetea kwasababu ya mahesabu yao, nikikuuliza tena kwanini mahesabu yao wasiyafanye mapema? utaanza kuzunguka tuanze mwanzo.
Naona tuishie hapa, kila mmoja abaki na lake, japo sijapendezwa na namna unavyoitetea serikali hata ikivunja sheria iliyojiwekea.
Sasa kama hamna tofauti watu wanalalamika nini?Hivi ukimlipa mtu kila baada ya tarehe 23 ya mwezi na mwingine akawa analipwa kila baada ya tarehe 30 ya mwezi unadhani hawa watu wawili wana tofauti?,Hapo hakuna tofauti wote wamefanya kazi kwa siku 30 ndipo wakapokea mafao yao
Umeshaniweka kwenye kundi la watumishi wa umma, sijui nimeajiriwa ofisi gani ya serikali!.Serikali haija violate standing order mpaka itakapolipa mshahara baada ya mwisho wa mwezi.
Kwa kutotaka ku violate standing order, serikali inaanza kulipa mishahara mapema kabla ya mwisho wa mwezi. Ndiyo maana mshahara wa May unaweza kuliowa May 23. Hapo wamekuwahishieni mshahara, hiyo si violation ya standing order. Violation ni kupitukiza mwisho wa mwezi bila kulipa mshahara, kulipa kabla ya mwisho wa nwezi si violation, kwa sababu mshahara kuwahishwa si tatizo, tatizo ni mshahara kucheleweshwa.
Mpaka sasa mwisho wa mwezi June haujafika, wewe unadai mshahara wa mwezi gani? May?
Kwa sababu kama unadai mshahara wa June, mwezi haujaisha bado. Subiri mwezi uishe halafu kama serikali haijalipa mshahara njoo hapa July 2 ulalamike hujalipws amshahara wa June, nitakuunga mkono.
Wewe huna savings unaishi paycheck to paycheck?
Ukikosa kazi kwa mwaka unaweza ku survive kwa savings zako?
Basi wewe ni mtu mjingamjinga tu unayependa kuzozana kwa mambo bila mantiki, kuliko nilivyofikiri.Umeshaniweka kwenye kundi la watumishi wa umma, sijui nimeajiriwa ofisi gani ya serikali!.
Kuvunja sheria maana yake ni kutoifuata, hivyo unaweza kuivunja kwa kuwahi tarehe au kupitiliza tarehe, kufuata sheria maana yake ufanye vile sheria inavyotaka/agiza, naona umeanza kuleta majibu ya kisiasa, pumzika.
Umesha panic, i'm a free minded person aisee, niko huru kujadili chochote akili yangu inaniruhusu, acha hasira kunywa maji utulie, hii ndio JF.Basi wewe ni mtu mjingamjinga tu unayependa kuzozana kwa mambo bila mantiki, kuliko nilivyofikiri.
Bora hata ungekuwa mtumishi wa serikali ningesema kwamba ujinga wako si wa asili, umeletwa na njaa.
Ujinga wako unaonekana kuwa ni wa asili. Hupendi facts tu.
What's next, utataka mshahara ulipwe exactly midnight tarehe ya mwisho wa mwezi, ukiwahishwa sekunde moja tu umevunja standing order ya serikali, na ukilipwa sekunde moja tu baada ya hapo pia umevunjwa standing order hiyo?
Mbona tarehe ya mwisho wa mwezi bado haijagota? Usipolipwa hadi July 1, ndio ulalamike.Hivi Kwanini waTanzania tunakuwa mazwazwa hivi kwenye haki zetu? Mpaka Leo jumatatu ya tarehe 24 Mshahara hamna na vivo hivyo hamna kauli yoyote ile kutoka kwa serikali hasa hasa Karibu mkuu utumishi yeye yupo Kimya tu! Hii haikubaliki kabisa
From now siwezi kuendelea kufanya kazi mpaka napewa stahiki yangu kwa maana Mshahara Nyie wengine watumishi ambao hamjielewi au hamjui haki zenu endeleeni na kazi zenu!
Bullshit!!!!!!!!!!
Note
Moderator msifute Huu Uzi naona siku hizi mmekuwa machawa na boss wenu mello
==========
Ufafanuzi kuhusu Mishahara ya Mwezi June
- Kuanzia mwezi huu, June 2024 mishahara ya watumishi wa umma itakuwa inalipwa Kati ya tarehe 28 - 30
Fact.Umesha panic, i'm a free minded person aisee, niko huru kujadili chochote akili yangu inaniruhusu, acha hasira kunywa maji utulie, hii ndio JF.
Hiyo what's next yako is nothing to me, naona umejigeuza mpiga ramli, pumzika au endelea na hao wengine kwangu umechoka!.
Iko hivi; watumishi walilipwa mshahara wa mwezi uliopita tarehe 22/23 hivyo ilivyofika June 22/23 tayari ni siku 30/31 yaani mwezi.Fact.
Serikali haijachelewa kulipa mshahara wa June kwa sababu mwezi wa June haujaisha bado.
Standing order ya serikali inasema mshahara unalipwa mwisho wa mwezi. That is the deadline.
Deadline ya serikali kulipa mshahara wa June haijafika bado.
Ukililia mshahara aa June kabla mwezi haujaisha, hiyo ni njaa yako tu.
Iko hivi.Iko hivi; watumishi walilipwa mshahara wa mwezi uliopita tarehe 22/23 hivyo ilivyofika June 22/23 tayari ni siku 30/31 yaani mwezi.
Hivyo, wako sahihi acheni kuwatoa ufahamu kwa kutumia tarehe zenu.
Hii thread inaonesha jinsi watumishi wa umma wengi wanavyoishi "paycheck to paycheck".Watumishi wa umma hovyo sana. Sijui wanajikuta kina nani. Kazi zao nyingi ni planned already. Hakuna kuumiza kichwa sana. Kazi zenyewe mtu yoyote anafanya. Shukuru sana umejikuta hapo. Watu wenyewe mkifika kazini hamna multitask. Uje huku PS watu wanafanya kazi tanotano na bado mshahara unatoka tar 40. Tulia ndugu. Tulia
Ajabu sana, huoni kama serikali ikilipa mshahara wa mwezi June, tarehe 30, itakuwa imewanyonya watumishi karibia wiki nzima tangu walipowalipa mshahara mwezi wa May, tarehe 23?Fact.
Serikali haijachelewa kulipa mshahara wa June kwa sababu mwezi wa June haujaisha bado.
Standing order ya serikali inasema mshahara unalipwa mwisho wa mwezi. That is the deadline.
Deadline ya serikali kulipa mshahara wa June haijafika bado.
Ukililia mshahara aa June kabla mwezi haujaisha, hiyo ni njaa yako tu.
Serikali ikilipa mshahara wa June June 30, haitawanyonya watumishi mshahara wa wiki moja.Ajabu sana, huoni kama serikali ikilipa mshahara wa mwezi June, tarehe 30, itakuwa imewanyonya watumishi karibia wiki nzima tangu walipowalipa mshahara mwezi wa May, tarehe 23?
Hiyo standing orders waliiweka ili waifuate, kama wanajiwekea sheria wasizoweza kuzifuata wao wenyewe ni wazembe, usitetee huu uzembe wao kwa kulazimisha tarehe 30 iwe deadline hata kama inapitiliza.
Na wao kwa kujua hili, ndio maana wamekuwa na consistency ya kulipa mishahara tarehe 23 ya kila mwezi, ili wasizidishe muda kama unavyowaruhusu na hiyo standing orders yako.
mazoea. Umejitahidi kufafanua lakini wapi! Alafu hao ndo watumishi wa serikaliSerikali ikilipa mshahara wa June June 30, haitawanyonya watumishi mshahara wa wiki moja.
In fact nyie kila mwezi serikali inapowalipa mshahara tarehe 22/23 ndiyo mnainyonya serikali kwa kulipwa mshahara wiki moja kabla ya mwisho wa mwezi.
Kwa sababu, mshahara uliolipwa May 22/23 haukuwa mshahara wa kazi iliyofanywa mpaka May 22/23. Ulikuwa mshahara wa mwezi wote wa May kuanzia May 1 mpaka May 31.
Usione mshahara umelipwa May 22/23 ukafikiri mshahara huo ni wa kazi iliyofanywa mpaka May 22/23.
Mshahara huo ni wa mwezi woye wa May, umelipwa kwa kazi ya May 1 mpaka 31.
Kwa nini huelewi hili?
Hawa watu kwa hoja zao hizi napata shaka sana kuhusu ufanisi wao kazini.mazoea. Umejitahidi kufafanua lakini wapi! Alafu hao ndo watumishi wa serikali
hili nalo ni tatizo, watu wa aina hiyo hawana shukrani, ni sawa na mtu aliezoea kupewa zawadi mara kwa mara, siku ukikosa kumletea/kumpa zawadi inakuwa kesi ya madai, tena serious kabisa! [emoji23]Hawa watu kwa hoja zao hizi napata shaka sana kuhusu ufanisi wao kazini.
Yani watu wanafikiri mshahara ukilipwa tarehe 23 huo ni mshahara wa kazi iliyofanywa mpaka tarehe 23 tu!
Hawaelewi huo ni mshahara wa mwezi mzima, umelipwa tarehe 23 tu.
Nimeona mkuu asante sana.Mshahara unalipwa kwa standing order ya Katibu Mkuu utumisho.
Imewekwa hapa post number #290.
Serikali inatakiwa kulipa mshahata mwisho wa mwezi. Ikiwahisha sawa, lakini haitakiwi kupitiliza mwisho wa mwezi bila kulipa mshahara.
Sasa huu mshahara wanaodai watu ni wa mwezi gani? Mwezi May?
Kwa sababu kama ni wa mwezi June, mwezi haujaisha bado.
Hapo sawaMkuu kwani kodi unayolipa ni ile PAYE tu? Ukipata mshahara si utafanya manunuzi mbalimbali yanayopelekea kulipa kodi? Tuiweke hivyo mkuu