DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Tatizo sio kutoka Tarehe 28 kila mwezi tatizo ni je utakuwa ni kila mwezi tarehe hiyo 28??Niliona bandiko humu kuwa sasa utakuwa unatoka kati ya 28-30 ya kila mwezi
Anapigania haki yake...Acha hiyo kazi kwani umelazimishwa kufanya.
Kwanza mwisho wa mwezi haujafika watu wengine sijui mna akili gani
Ingekuwa mwezi umekwisha angekuwa na haki ya kupigania sasa hata mwezi haujaisha.Anapigania haki yake...
Hivi Kwanini waTanzania tunakuwa mazwazwa hivi kwenye haki zetu? Mpaka Leo jumatatu ya tarehe 24 Mshahara hamna na vivo hivyo hamna kauli yoyote ile kutoka kwa serikali hasa hasa Karibu mkuu utumishi yeye yupo Kimya tu! Hii haikubaliki kabisa
From now siwezi kuendelea kufanya kazi mpaka napewa stahiki yangu kwa maana Mshahara Nyie wengine watumishi ambao hamjielewi au hamjui haki zenu endeleeni na kazi zenu!
Bullshit!!!!!!!!!!
Note
Moderator msifute Huu Uzi naona siku hizi mmekuwa machawa
bi ushungi ni kiburi sana...nchi ishamshindaHivi Kwanini waTanzania tunakuwa mazwazwa hivi kwenye haki zetu? Mpaka Leo jumatatu ya tarehe 24 Mshahara hamna na vivo hivyo hamna kauli yoyote ile kutoka kwa serikali hasa hasa Karibu mkuu utumishi yeye yupo Kimya tu! Hii haikubaliki kabisa
From now siwezi kuendelea kufanya kazi mpaka napewa stahiki yangu kwa maana Mshahara Nyie wengine watumishi ambao hamjielewi au hamjui haki zenu endeleeni na kazi zenu!
Bullshit!!!!!!!!!!
Note
Moderator msifute Huu Uzi naona siku hizi mmekuwa machawa na boss wenu mello
Ukilipwa tarehe 5, mpaka tarehe 5 mwezi umeisha,Ingekuwa mwezi umekwisha angekuwa na haki ya kupigania sasa hata mwezi haujaisha.
Ninavyojua mimi mishahara serikalini inatolewa on monthly basis on arrears
Kwamba unafanya kazi kwanza ndio unakuja kulipwa mwisho wa mwezi
Wewe ni miongoni mwa wakunga wapumbavu kabisa! Badala ya kupigania haki yaHivi Kwanini waTanzania tunakuwa mazwazwa hivi kwenye haki zetu? Mpaka Leo jumatatu ya tarehe 24 Mshahara hamna na vivo hivyo hamna kauli yoyote ile kutoka kwa serikali hasa hasa Karibu mkuu utumishi yeye yupo Kimya tu! Hii haikubaliki kabisa
From now siwezi kuendelea kufanya kazi mpaka napewa stahiki yangu kwa maana Mshahara Nyie wengine watumishi ambao hamjielewi au hamjui haki zenu endeleeni na kazi zenu!
Bullshit!!!!!!!!!!
Note
Moderator msifute Huu Uzi naona siku hizi mmekuwa machawa na boss wenu mello
Wewe mzee wa "....mate", sasa hutaki kuwa na "f..kmate" !!??Usitoke tu mamee mnatuibia mademu zetu
🤣🤣🤣Usitoke tu mamee mnatuibia mademu zetu
Na comment wanafuta wanavyojisikiaWanafuta sasa hivi mimi siku hizi niliacha kuandika humu ukiandika uzi mara wanaunganisha uzi zingine.....mara wanafuta nakajionea ujinga siku hizi nacomment tu.....
Dah walimu Wana kazi sana kuelewesha vichwa km hv...[emoji1][emoji1][emoji1]mkuu Yani ndio kwanza tarehe 24, ushaanza kulia lia mshahara , haujatoka,,at least ingekuwa tare 29 au 30 hapo ndio uanze kuilaumu serikali
Kuna taasis zimeshazoea hii hali, nyie wapya mnaona mpya. Until watumishi mtakapo amka usingizini na kuwa wamoja until then Pole na karibu kwenye reality showHivi Kwanini waTanzania tunakuwa mazwazwa hivi kwenye haki zetu? Mpaka Leo jumatatu ya tarehe 24 Mshahara hamna na vivo hivyo hamna kauli yoyote ile kutoka kwa serikali hasa hasa Karibu mkuu utumishi yeye yupo Kimya tu! Hii haikubaliki kabisa
From now siwezi kuendelea kufanya kazi mpaka napewa stahiki yangu kwa maana Mshahara Nyie wengine watumishi ambao hamjielewi au hamjui haki zenu endeleeni na kazi zenu!
Bullshit!!!!!!!!!!
Note
Moderator msifute Huu Uzi naona siku hizi mmekuwa machawa na boss wenu mello
Povu la nini mkuu...kwani ni mimi ndie nimefanya mshahara wako uchelewe???Dah walimu Wana kazi sana kuelewesha vichwa km hv...