Nimechoshwa na Huu umungu mtu unaooneshwa na serikali! Mpaka Sasa Mshahara haujatoka? Mnatuchukuliaje?

Kama mnaona mnachofanyiwa sio sawa, kwann msiache kazi?
Kila Meimosi kauli ni ile ile kuongezewa mishahara, kwann msiache kazi mana mnachofanyiwa sio haki yenu?
Hv unajua n watu wangapi nje wanatamani kuwa hapo ulipo kwa huo huo mshahara wako?
Haya sio majibu ya MTANZANIA Mkuu
 
Very Good.
 
Tatizo kuna baadhi ya watu wenye uelewa mdogowanafikiri kwamba tarehe 30 ndo mwisho wa mwezikiserikali, wakati leo ni siku ya 32 tokea mshara wa mwezi wa 5 ulipotoka.
 
Mwezi umeshakwisha Na tayari tupo Tarehe 3 ya mwezi mwingine wa kiserikali
Kazi sana kueleimisha kenge ambazo hazipo kwenye payroll ya serikali, mtu kama upo private usituletee experience zako acha watoto wa mama kizimkazi tupambane na hali zetu. Kama ulinilipa 21 kwanini mwezi unaofata unachelewa hadi 24 mshahara hakuna.
 
Mambo ni yaleyale tu tulipwe tarehe 23 au 30 mshahara mwingine tena ni baada ya siku 30 (23 au 30 ya mwezi unaofuata)

Sijui shida iko wapi wanetu mpaka mnalialia?

Mnaishi kwa kutegemea mishahara tu?
 
Kama hamkubaliani na Reforms na Rebuilding mfateni alipo, mnangoja nini?

Awamu hii ishasema mwisho wa mwezi uwe mwisho wa mwezi kweli. Ni nini msichoelewa hapo? Mshahara ni mwisho wa mwezi siyo kati ya mwezi.
Ukipenda boga penda na ua lake
 
mjumbe, kasome katiba ya watumishi na mkataba wa kazi, kuanzia siku ya 15 mfanya kazi anaweza kulipwa malipo yake ya mwez
Tatizo la nchi hii ni ujuaji mkuu, sisi ndio tunatumia standing order tunajua kwanini tunadai malipo ya mshahara anatokea boda boda anadai mwezi una siku 30. Hawajui kazi za umma Zina sheria, kanuni, miongozo na taratibu zake.
 
Ajuza unamtetea mwenzao katika Imani huna lolote. Wewe tunajua huwezi kufikili nje ya dini
Mimi ni Muislam, imani yangu inafundisha kutenda hali wakati wote, hata kama mwanangu wa kumzaa hayupo kwenye haki siwezi kumtetea. Kumbuka hilo.
 
Alikuwa.anawazilumu wafanyakazi miakasaba ajawahiongeza mishahala.hakuwabinaadamu wakawaida alikuana rohombayasana sijawaiona
 
Bodaboda tunaomba mtupishe, kama hauna CHECK NUMBER pita kushoto.. atapigwa mtu humu.
 
Reactions: EEX
Kama hamkubaliani na Reforms na Rebuilding mfateni alipo, mnangoja nini?

Awamu hii ishasema mwisho wa mwezi uwe mwisho wa mwezi kweli. Ni nini msichoelewa hapo? Mshahara ni mwisho wa mwezi siyo kati ya mwezi.
Wewe Bibi mwezi huu ukilipwa mshahara tarehe 23, mwisho wa mwezi ujao ni terehe 23 sio tarehe 30 au 31.
 
wewe bibi kweli una mashetani, mwisho wa mwezi kwa mtumishi wa serikali anayelipwa kila tarehe 22 ni upi
Tarehe 28, 29, 30 au 31. Tazama kalenbda hata ya kwenye simu yako, itakupa ratiba ya kila mwezi unaanza lini na kuishia lini.


Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Kama hamkubaliani na Reforms na Rebuilding mfateni alipo, mnangoja nini?

Awamu hii ishasema mwisho wa mwezi uwe mwisho wa mwezi kweli. Ni nini msichoelewa hapo? Mshahara ni mwisho wa mwezi siyo kati ya mwezi.
Punguza kula kitimoto na bia kwa siri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…